Kim Poulsen wamemtimua Taifa Stars?

Moshi25

JF-Expert Member
May 6, 2022
1,787
2,870
Kim Poulsen wamemtimua kufundisha timu ya wakubwa Taifa Stars but it is too late! Tumepigwa nyumbani mechi muhimu sana Algeria na Uganda wakamalizia kwenye mshono!

Nilizungumza sana kocha hatufai huyu TFF hawakusikia wanamtimua kumekucha!

TFF wamuombe Prof Nabi asaidie benchi la Taifa Stars second half kujua timu pinzani inatumia fomesheni gani na counter formation ni ipi na sub wamuingize nani. Tshabalala apumzishwe Taifa Stars kachoka kina Manyama wapo!
 
Kim Poulsen wamemtimua but it is too late! Tumepigwa nyumbani mechi muhimu sana Algeria na Uganda wakamalizia kwenye mshono!

Nilizungumza sana kocha hatufai huyu TFF hawakusikia wanamtimua kumekucha!
Hajatimuliwa, wamembadilishia majukumu tu. Nchi ya bongolala hii!!
 
Nabi ni mechi gani ya kimataifa aliwahi kushinda akiwa na Tanzania akiwa na Na Yanga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom