Umeonaje kiwango cha Taifa Stars bila wachezaji wa Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,770
24,202
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba

Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point 4 bila ya wachezaji wa Simba

Swali ni je, wachezaji wa Simba hawana impact yeyote pale taifa stars?

Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vizuri.

FB_IMG_16486128858627473.jpg
 
Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vzr.
View attachment 2168856
ambayo tumetoa droo.....bila kufungana

Itakuwa game yenyewe ulisikiliza Tbc
 
Wewe hujaangalia mpira wala kusikiliza popote, umekurupuka tu na matokeo yako feki hivyo hata hutoweza kuchambua kiwango cha timu husika kama hujaangalia mechi.

Kifupi tu nikusaidie Stars jana ka draw 1-1 ambapo alianza kufungwa dakika za awali akaja kurudisha second half. Metacha ndie aliesababisha tufungwe goli la kwanza kwa kutema mpira mbele ya adui hivyo Pengo la Manula lilikua dhahiri.
 
Maana yake hakukuwa na mshindi
 
Ila ukiwa na hizi Tabia za Kabwili hata akili huwa zinayumba
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba

Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point 4 bila ya wachezaji wa Simba

Swali ni je, wachezaji wa Simba hawana impact yeyote pale taifa stars?

Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vzr.
View attachment 2168856
 
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba

Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point 4 bila ya wachezaji wa Simba

Swali ni je, wachezaji wa Simba hawana impact yeyote pale taifa stars?

Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vizuri.

View attachment 2168856
Ikiwezekana Simba SC ndiyo iwe Taifa Stars ( Timu ya Taifa ) kuanzia sasa hasa Jumapili hii ijayo.
 
Back
Top Bottom