Asilimia kubwa ya wanawake ambao wengine ni wake zetu, wapenzi wetu, dada zetu, mama zetu, ndugu zetu n.k.
Ila kwa uzoefu nilionao wanawake wengi ukiona kabadilika kwa mazuri au mabaya basi tambua akili yake au ufahamu wake unashikiliwa na mwanamke mwenzake, haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani...