tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana tabia zinazofanana na wanyama hawa

    Mhadhara - 42: Kuna watu katika jamii wana tabia zinazofanana na hawa wanyama/wadudu. 1. PIMBI (Harakati zisizo na maana) - Wapo watu ambao wanaweza kufananishwa na pimbi. Ukikutana nae barabarani yupo race utafikiri anakwenda kuokota burungutu la hela, lakini hana anachokiwahi, busy for...
  2. Kiparamoto

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

    Wakuu, Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii! Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto wa3 kila mmoja na mama yake na nashukuru wanangu wanaishi vizuri lakini sikubahatika kuoa wazazi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuna Wabongo wenye hii tabia ya huyu Mshamba na Mchoyo?

    Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali. Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia? Sinunui huruma. Hutasikia kwamba...
  4. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tabia za wanaume washindao katika mitandao ya kijamii

    Men will like everything you post until he becomes your man, now he can't see🥲🤡😂
  5. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi Tanzania ni Wazubavu, Watu wenye tabia ya Kuzubaa

    Kuna ka-reserch nimekafanya kwa muda kidogo kuhusu tabia za watanzania na kugundua kuwa watanzania wengi wana tabia ya kuzubaa, akili kama inachelewa kuload, kuchelewa kufikiri na kutofanya maamuzi kwa usahihi na kwa ufanisi, Ninachelea kusema kwamba maisha ya watanzania ni mabovu kwasababu ya...
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Madactari, wanasaikolojia, wachungaji na watu waliosoma masomo ya theology na tabia za ubongo wa Binadamu.

    Salaam wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu. Ahsante: NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije...
  8. oko majimaji

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wizi ni kwa watanzania tu au duniani kote

    Natumai wazima. Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na yeye akanunue kigari atambe mjini alafu wenyewe wanaita et marupurupu wakati huu ni wizi. Hii tabia...
  9. Mel James

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

    Katika mahusiano watu hushindwana sana kwenye tabia, hapo hupelekea wapenzi kuachana. Ila sehemu za siri pia ni tatizo kubwa sana hupelekea watu wengi kuachana. Mfano nishawahi kuachana na msichana mmoja mrembo sababu ya harufu kali sehemu ya uke! Kuna watu washawahi kuachana sababu mmoja ana...
  10. Adam Clark

    JamiiForums Tanzania Tabia 7 zinaonesha kuwa wewe ni mtu mwe IQ ya juu

    Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu. 1.Kuongea mwenyewe 2.Kukesha usiku 3.Kuota ndoto za mchana. 4.Kuuliza maswali mengi 5.Kufanya fujo na ukafanikiwa. 6.Kuwa mpweke. 7.Kusoma vitabu. NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we...
  11. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Afrika hii tabia tutaacha lini?

    Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao, lakini tumeukalia' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa, kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo, kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanawake tabia ya kuji-edit uzuri inakera, tuhurumieni

    Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu. Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Huyu muheshimiwa amenishinda tabia

    Huyu muheshimiwa amenishinda tabia Siku hizi hata nikimuona nyumbani kwangu simuui tena namchukulia kama mwanafamilia tu
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  17. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutembeza wageni kwenye nyumba mpya!

    Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya. Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani. Kimsingi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuweka akiba ni tabia au uwezo wa kipato?

    Kuweka akiba ya fedha kumeongezeka umaarufu katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na sababu kama ongezeko la gharama za maisha, maendeleo ya huduma za kifedha, elimu ya fedha, upatikanaji wa habari na mengine. Hata hivyo, kwa mtazamo wa mazingira yetu, wengi wanaona kuweka akiba kuwa...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeacha tabia mbovu kwa ajili ya ndoa usimuamini

    Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
  20. 2v1

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya uache tabia fulani

    Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu. Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi. Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo rahisi ata kidogo, kwa sababu nilisha jaribu sana ila nikashindwa. Wana jamvi elezeni pia visa vyenu...
Back
Top Bottom