tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Habari wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo Usomaji wa matangazo ya week, Kwa dunia ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  3. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

    itaendelea wiki ijayo..
  4. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

    Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT. Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza.... Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
  5. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

    Watu wenye IQ kubwa mara nyingi huonyesha tabia fulani zinazowatofautisha na wengine. 1. Udadisi wa hali ya juu – Wanapenda kuuliza maswali na kutaka kujua jinsi mambo yanavyofanya kazi. 2. Ufahamu mpana – Wanajua mambo mengi na wana uwezo wa kuelewa mada mbalimbali kwa haraka. 3. Uwezo...
  6. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo nyeusi, Viatu ndiyo kabisa.. Lakini pia tangu nimeanza kuwa mimi Mfumo wa maisha yangu haujawahi...
  7. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  8. dorge

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

    Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu. Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani? Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ana tabia zote za waswahili wa Buza

    Petty and vindictive.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupokea viongozi na kuondoka kwa nini imekuwa kama sherehe na sio heshima za kiusalama kama ilivyo kwa nchi nyengine

    Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu. Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
  12. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu ya kubadili hii tabia

    Muhali gani wana JF, Ebana nahisi na naamini hii tabia sio mimi pekee ambaye ninayo, Naomba wenye tabia kama hii tukutane hapa na tushauriane mnaweza vipi kuji control?, au wataalamu wa Saikolojia watusaidie. Ni kuhusu tabia ya MOYO WA MSHUMAA (Unaungua na kuteketea ili kuwamulikia wengine). *...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani wa Vigwaza aonya tabia ya Ubaguzi ndani ya CCM. Asema CCM hakijawahi kuwa chama cha kibaguzi

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Vigwaza kimeadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, huku kikitoa wito wa kuepuka ubaguzi katika mchakato wa uchaguzi mkuu. Mwenyekiti wa chama hicho, Athumani Kimui, ameeleza kuwa CCM haikubali kuwepo kwa ubaguzi baina ya wanachama wake, akisisitiza...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

    Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu. Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
  15. blogger

    JamiiForums Tanzania Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  18. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Aina za watu na tabia zao kanisani

    Kanisa Lina Aina ya watu ambao hawako katika MISHENI Sawa. Kuna Baadhi ya wahusika uwepo wao Kanisani ni kukamilisha ajenda zao ZINGINE... Katika Historia ya Makanisa Maandiko Matakatifu (Ufunuo 3:14-15) yanaeleza kuwa tupo Kanisa la mwisho ambalo ni Kanisa la Laodakia na tabia za Kanisa la...
  19. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Hivi tabia ya Watanzania kuwa wajuaji na kuelezea kitu ambacho hawakielewi maana yake tena comfortable kabisa inatokana na nini?

    Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa...
  20. Lighton

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuombaomba pesa

    Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano. Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia...
Back
Top Bottom