tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wewe mlinzi wa hapo hospitali ya mbarali ukome na hio tabia ya kuchungulia wakina mama wakiwa leba

    secretarybird acha kabisa 😁
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu alipoteza kitabu chake cha kiongozi cha mwalimu, tuliwekwa juani na kuchapwa kumbe kakisahau kwa mtoto wake

    kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano. Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia ya Mungu, hapendi nini ?

    Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu, Nakushauri nawe pia ukipata nafasi Tafuta Muda usome kitabu cha Mwanzo katika biblia kimeeleza tangu...
  5. JamiiForums Tanzania Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

    Wakuu, tupige stori kidogo Hivi Kama kijana ni Tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njoo mnifundishe tabia ya kutojibu message kwa wakati.

    Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu. Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu. Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya "kupagana shoti" isipo tupiwa macho ni hatari sana

    Nimepata msamiati mpya kutoka kwa Mbuge Msukuma alipo kuwa anamuelezea Maku wa Rais Mhe. Deo Ndejembi alimuasa Makamu Mpya kuwa asiwe na tabia ya " kupiga shoti wenzake". Bilashaka neno hilo lina maana ya viongozi walipewa mamlaka wasiwe na tabia ya kuwafitini na kupiga majungu walio chini yao...
  8. JamiiForums Tanzania Ukomavu wa Uongozi: Tabia au Cheo?

    ✍️Kuna jambo moja ambalo vijana tunapaswa kujifunza kwa umakini sana katika safari ya uongozi si kila mtu anayetamani kuwa mkubwa ana uwezo wa kubeba ukubwa huo. Kuwa na ndoto kubwa ni jambo jema kuwa ambitious ni jambo jema kutaka kufika mbali ni jambo jema lakini tatizo huanza pale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ulipokwenda ugenini, tabia gani za watoto zilikushangaza?

    Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
  10. JamiiForums Tanzania Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

    Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
  11. JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Baada ya kumaliza chuo tu. 01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar. Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ndogo mabadiliko makubwa

    tabia ndogo, mabadiliko makubwa Beti ya Kwanza Tabia ndogo huanza kimya, lakini hujenga maisha kwa nguvu, Nguvu ya kurudia hujenga misuli, na misuli ya akili hujenga uthabiti, Uthabiti hauzaliwi kwa siku moja, hujengwa kwa hatua ndogo za kila siku, Siku moja inaweza kuonekana ndogo, lakini...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

    Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,, Nikapekua...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa lakini vituko vya mke vikakufanya uingie kwenye tabia hatarishi

    Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume. Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia za ajuza

    Tabia za Ajuza sometimes 1)kupoteza kumbukumbu 2)Kutofanya kazi kwa ufanisi 3) kutokufuatilia mambo ya msingi,kutegemea watu wengine. 4)kukosa nguvu na Madini kupungua 5)Kukosa Mvuto. Ccm mna miaka mingi huenda umri unafanya mambo kuyumba ni HEKIMA MJITAFAKARI KUJI UPDATE ,KUJIDANLOAD UPYA.
  19. JamiiForums Tanzania Umahiri si tukio—ni tabia ya kila siku

    UMAHIRI SI TUKIO—NI TABIA YA KILA SIKU Viongozi mahiri hawasubiri kuambiwa cha kufanya. Hutambua yanayopaswa kufanyika mapema, huendelea kujiboresha, hukubali maoni kwa unyenyekevu, huwajibika kwa matendo yao, na hudumisha viwango vya juu hata pale ambapo hakuna anayewaona. Umahiri hujengwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia , Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…