Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Habarini za wakati huu!
Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24.
Ingawa sijajua wanatoa wapi...
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa...
Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
Akichangia Bungeni leo Mei 13, Jijini Dodoma Mbunge Dr. Thea Medard Ntara Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vyuo na Vyuo Vikuu ametaka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa sakata la Wanafunzi wa Kike wa Chuo kudhalilishana wakimgombania.
Pia, Soma
Wanafunzi wa chuo kikuu...
TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT)
Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
Waislamu ni wagumu sana kutengeneza kitu cha kunufaisha jamii nzima, licha ya wao kuwa na matajiri wengi kama kina Bakresa na wengineo hapa Tanzania lakini linapokuja suala la kurudisha kwa jamii wanakuwa ni watu wazito sana, sanasana watatengeneza maendeleo kwa ajili yao tu.
Hakuna sehemu hapa...
Nilipoanza kazi miaka 20 iliyopita (Katika Taasisi moja ya serikali jiji Dar), ushauri mkubwa niliopewa na wale niliowakuta kazini ni kujenga nyumba. Walisema ukifanya kazi baada ya miaka 20 walau ukiwa umejenga nyumba hata 3 hadi nne hapa Dar za kupangisha utakuwa umetoboa. Nikasema naam, baada...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile.
"Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya.
Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
Ndugu wanabodi mimi naomba kupendekeza kama kunaweza kupatikana taasisi yoyote iwe ndani au nje ya nchi yenye kuheshimika na kuaminika isiyo na upande wowote basi tuialike iwaite mezani serikali na chadema ili kuondoa hizi chokochoko zinazowndelea.
Serikali inaweza kudharau na kuona kana kwamba...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) leo tarehe 18 Aprili, 2025 imekabidhi Taulo za Kike (Sanitary Pads) 350 kwa Wasichana walio katika mazingira magumu nyakati za hedhi husababisha changamoto kubwa kwa wasichana kuhudhuria masomo...
Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola.
Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
Habarini wakuu, natumaini mnaendelea vyema na shughuli za kulijenga taifa.
Kuna jambo moja nimelifatilia Kwa watu mbalimbali japo nimepata majibu mchanganyiko. Kwa hivyo nimeona nililete kwenu pia kama kuna watu mnaofahamu tushauriane. Nitumie mfano: Labda nimesoma Bsc with Education (Biology...
Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA...
Habari za leo Mdau, naomba utusaidie kupaza sauti iwafikie taasisi ya Osha...
Wanavyuo wa NIT, Ardhi na Chuo cha Maji 2024 tulilipia pesa 30,000 kwaajiri ya mafunzo semina ya Usalama mahala pa kazi (OSHA), tulipewa mafunzo tokea siku ya 20/04/2024, lakini baada ya hapo vyeti vilichelewa kutoka...
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali:
1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje !
2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
Serikali imezitaka Taasisi za Fedha zilizosajiliwa kutoa huduma ya mikopo, kuto wakandamiza wananchi katika mikataba kwa sababu ya kutojua kusoma na kuandika kwa kuwasainisha mikataba bila uelewa wao.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija...