swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

    Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
  2. JamiiForums Tanzania Nisaidieni swali hili ndugu zangu

    Msaada wa poem hii
  3. JamiiForums Tanzania Swali la Siku: Dhana gani kuhusu Chakula fulani unahisi ni Potofu?

    Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kijana mdogo kaniuliza hili swali nikashindwa kabisa kulijibu

    Naomba msaada wenu wana JF Huyu kijana sijui hili swali kilitoa wapi, ameniuliza mwalimu aliingia darasani akasema "Kama jana ingekuwa kesho, basi leo ingekuwa ni Jumamosi" Mwalimu alizungumza maneno haya siku gani? Mwenye majibu ya swali hili fikirishi tafadhali ashuke chini hapo, nisije...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

    Ni swali la upimaji IQ Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaan wewe unatumbua nini?kwenye ubongo wako
  6. D

    JamiiForums Tanzania Swali muhimu la kibaiolojia

    Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI KUHUSU ROHO, MWILI NA NAFSI.

    Habari za leo; Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine. Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Jamiiforum nawaomba msamaha kwa swali hili, Hivi mnapataje pesa ?

    Salaam Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu. Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Swali Chokozi: Wapigane ili Waheshimiane?

    Na. M. M. Mwanakijiji Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa namna fulani. Wanaweza kumfuata na kumuambia mtu: "Aisee unajua jamaa anasema we ni wa hovyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  11. JamiiForums Tanzania Swali linalonivuruga kichwa ?

    Salaam wakuu. Kwenye mada moja kwa moja. Kwanini anga ni la BLUE kukiwa hakuna mawingu nyakati za Mchana na JEUSI nyakati usiku. Wanasayansi njooni. NB; Najua kuna wengine watasema ni reflection ya maji sababu maji ndio sehemu kubwa ya Dunia hii (sasa maji si ni colourless) kwanini lisiwe la...
  12. 0

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Nissan Serena

    Habari ya Sunday Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya magari yanauzwa bei ndogo sana. Ni kama thamani yake inashuka haraka kuliko mfano Noah na Alphard...
  13. JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  14. JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kujibu hili swali langu ambalo nimejiuliza mara mbili mbili

    Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni lini wanafunzi wa vyuo wataacha kujamiiana kwenye dabo deka?

    Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi? Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya swali la siku lililouliza kuhusu iwapo tulishawahi kukutana na taarifa potofu

    Swali lililoulizwa ni hili: https://www.instagram.com/p/DAJNUqTNURq/ ====== Majibu yangu Ndio, mara nyingi hukutana na taarifa ambazo zinaweza kuwa potofu, hasa kwenye mitandao ya kijamii au vyanzo visivyoaminika. Ili kubaini ukweli wa taarifa hizo, mbinu mbalimbali hutumika: 1. Kuthibitisha...
  17. JamiiForums Tanzania Kila ukiingia mtandaoni unakutana na swali: "Je, unataka mkopo?" Na sisi tunawauliza; je, mmetumwa?

    Je, mnataka kuzulumiwa? Je, mnataka tukope tuwakimbie? Je, mnataka tusiwalipe? Je, mtatushtaki wapi? Je... Je.... Je... Embu acheni hizo bwana msitake tukope tuanze kuaibishanaa kwenye msg pls
  18. JamiiForums Tanzania Najiulizaga swali hili

    Kwema Wakuu! Kuna mambo yananishangazaga sana. Mpaka wakati mwingine najiuliza kwa NINI ipo hivyo. Mimi ninatabia sijui niite ya ajabu au ya namna gani. Iko hivi; Mimi sionagi shida mtu akiniita Mjinga, akiniona hamnazo, akiniita hata majina ya namna yoyote Ile. Kwangu sioni shida. Yaani...
  19. JamiiForums Tanzania Wana JF kuna 15000Tsh kwa atakaejibu swali hili.

    Toa\taja tofauti tano (5) kati ya 1)Aliyeona akikusimulia na, 2)aliyesikia akikusimulia Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza. A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

    Clip inajieleza wazi: Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…