Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,019
Salaam wakuu.
Kwenye mada moja kwa moja.
Kwanini anga ni la BLUE kukiwa hakuna mawingu nyakati za Mchana na JEUSI nyakati usiku.
Wanasayansi njooni.
NB; Najua kuna wengine watasema ni reflection ya maji sababu maji ndio sehemu kubwa ya Dunia hii (sasa maji si ni colourless) kwanini lisiwe la KIJANI au JEUPE maana sehemu kubwa ya ulimwengu pia ni miti na MAJI ?
Nawasilisha, Ila swali hili halihitaji mihemko.