Salaam wakuu.
Binafsi Sina lengo la kumharibia siku mtu ,au kumkejeli mtu lakini wakuu suruali kwa wanawake wembamba ni kama wanajidhalilisha
Naelewa kwamba wanataka wapendeze, waende na wakati ,na waonekane wa kisasa lakini Kuna mambo mengine hapana kwa kweli
Samahan kama Kuna yeyote...
Habari wadau.
Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake.
Sadly, leo nimevipokea maana alinitumia kwenye basi na havinitoshi kabisa. Shati ni dogo mno hasa mikono...
Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali.
Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya...
Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko wazi wakuu muda wowote
Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia.
Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya wafikiri hivo
Sipati picha hapo baadae miaka 100 ijayo wanawake wote hawataki kua wanawake tena...
Habarini wakuu!
Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet
Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie
Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana.
Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
Ndugu zangu,
Kuna tabia ya siku hizi ya wanawake kupenda kuvaa suruali. Kiukweli sio vazi baya ila kuna baadhi yao linawadhalilisha kwenye jamii. Mtu katoka kukutana na mwenza wake kimwili then kavaa suruali iliyobana bila hata mtandio wa kumstiri ni aibu. Nawasanua tu. No malice to anyone.
Wanaume kweli tume amka japo bado wapuuzi wachache.
Nikiwa mtandaoni nakutana na post hiyo hiyo hapo kwenye picha chini.
Nikakutana na koment ya kiume ikisema
"Ongezea pointi moja na huyo mwanamke akae nyumbani maana manufaa ya kazi yake ni hamna"
Basi kwenye hiyo koment kukawa kimejibiwa...
Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua.
Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa...
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri.
Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni.
Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
Hizi kauli za huyu anatumia muda na pesa kujiremba, wakati ulimkuta anapendeza na unajua kupendeza huko gharama nadhani ni kupotoka kutaka kumbadilisha....; Fulani kila siku anatumia muda kuangalia mipira wakati ulimkuta kwenye mpira ulivyomsindikiza rafiki yake.....; Kwamba hajui kutafuta...
Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.
Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake...
Kutokana na kuporomoka kwa maadili hasa kwa vijana katika maeneo mengi nchini, uongozi wa Kijiji cha Olevolosi, Kata ya Kimnyaki wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha umeweka sheria ndogo mbalimbali na kupitishwa na mkutano mkuu wa kijiji.
Miongoni mwa yaliyopitishwa ni pamoja na kupiga marufuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.