supu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  2. kavulata

    Mashabiki Simba wanatamani supu pia, wanashindwa kusema

    Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa...
  3. L

    Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  4. Allen Kilewella

    Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu

    Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka. Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki. Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao...
  5. Brain Kingdom

    Supu ya kongolo inachochea shoo za kibabe kwenye mizagamuo

    Shalom, Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa. Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali. Usijeukamtafuta mchawi chukua hii ikusaidie. Ijumaa Kareem Wadiz a k.a Chief Mapenzi
  6. ndege JOHN

    Chapati mbili na supu original ya pweza kamili

    Pweza ni biashara yenye faida hebu Ona huyo pweza nimemnunua 5000 ukimkata vipande vidogo vinatoka vipande zaidi ya 20 unapata 10000 pweza mmoja tu ukimtengenezea utratibu wa mpango wa mradi wenye maendeleo.
  7. ndege JOHN

    Nachanganya ndizi tunda za kuiva na supu ya nyama ama pweza

    Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu inahitaji chumvi so haifai kuchanganya sukari na chumvi sijui sayansi yake ya wapi mbona me sijaliona tatizo...
  8. NALIA NGWENA

    Wachambuzi wameisahau Kengold kuwa imepanda ligi kuu, wanaisifu Pamba muda wote kwa kua wamepewa supu ya Ng'ombe na mboga ya kupeleka nyumbani

    Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
  9. U

    Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  10. ndege JOHN

    Supu is overrated

    Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa. At least Ki dogo iwe supu nzito yenye viazi, karotihohonyama pc 5 ila sio supu hizi za uswahilini za...
  11. Selemani Sele

    Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao. Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
  12. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  13. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

    Karibuni wananchi tuongeze nguvu baada ya kushinda goli tano dhidi ya mtani. Hata wana Simba mnaruhusiwa kuja kupoza machungu ya kipigo cha goli tano.
  14. J

    Wanasiasa na tabia za kizandiki ni Kama chapati na supu

    Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe. Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
  15. Mortence djuma

    Nahitaji mtu wa IT kuna kazi anifanyie

    Nahitaji mtu wa IT Kuna kazi nataka anifanyie, 0624835630 Kuna maokoto yake apa chap
  16. Idugunde

    Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

    Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage. Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k Dar mbona kila kitu tabu?
  17. babukijana

    Supu mapupu, Kichwa Mbuzi Kiria Bar na Euro Pub

    Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar. Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
  18. Black Opal

    Nini tofauti kati ya supu na mchemsho?

    Wakuu, Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili tofauti! Hizi picha nimetoa mtandaoni, moja ni supu nyingine ni mchemsho, lakini mimi sioni tofauti...
  19. Msanii

    Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  20. Nyendo

    Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

    Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi. Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe...
Back
Top Bottom