subiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  2. M

    Tetesi: Wanajeshi wa Uganda waliokuwa wanashirikiana na KMKM kupiga risasi raia kwenye maandamano wako kwenye mahabusu za Jeshi

    Usipotaka kuamini acha. Ila iko hivi wanajeshi wa Uganda waliokuwa wakishirikiana na kmkm kupiga risasi raia wako ndani kwenye mahabusu za jeshi makambini. Among other things huko maeneo ya Kibaha walipoanza kuua raia, wajeda walituma watu wao (JWTZ) kwenda kujihakikishia kuwa kama kweli wanaua...
  3. P

    Subiri tuone tunakoelekea uchaguzi huu

    Hadi tunafikia uchaguzi kuna maneno yatakuwa yamesemwa, mipango kufanyika na tutaona mengi. Za ndani kabisa wanaosukumwa na utaifa, wana ajenda kali na ngumu. Mimi nasema, Mungu tupe uzima tushuhudie yote yatakayotokea.
  4. P

    Hili fungate la CCM na matajiri, subiri tuone

    Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G. Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini. HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
  5. Bueno

    Usiuze kwanza Subiri Mji Ukue hapo pakishachangamka patakulipa sana

    Wakuu, katika kitu kuna Mzee wangu mmoja kila tukikaa anajutia ni kuuza eneo maeneo fulani ya Dar ambapo kipindi hicho palikua ni km Chaka la Simba tu. Enzi hizo kitambo sana akapaona sio kitu akauza akahama anakwambia leo hii akirudi kupaangalia pale alipouza anajuta ni mji pameshushwa ghorofa...
  6. C

    Mpina umeuponza, subiri UTEUZI wa kitaifa

    Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Askofu Dkt. Yohana Nzelu: Watu wanauawa na kupotea, tukizungumza wanasema Askofu amekuwa Mwanasiasa

    Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali. Video: Kitenge TV
  8. Carlos The Jackal

    Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  9. ELI COHEN

    Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  10. Cute Wife

    Tengeneza tatizo, subiri lifukute, peleka suluhu wakuone mkombozi!

    Wakuu, Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo! Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa hajui kuhusu resistance iliyotokea huko wakitaka kuendelea kuishi katika ardhi hiyo waliyokuwa wakikaa...
  11. ndege JOHN

    Subiri IDD ipite ndo uanzishe mahusiano ,soma alama za nyakati

    Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo kikubwa ni maokoto.
  12. D

    Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji? Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
  13. Chief Kumbyambya

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Wataalam wa mambo... twende kazi.... Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu. Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika...
  14. Daydream

    Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Huna mpenzi bali una tapeli. Mwandikie SMS kuwa una shida na elfu 10 chap halafu subiri majibu

    Hii ni kwa ma men. Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka. Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake...
  16. R

    Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  17. funluverx

    Mbongo mpe 'heading' tu kisha subiri stori

  18. Gulio Tanzania

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa jambo hili likakoma Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu...
  19. N

    Subiri ujionee sasa: faini hii ya simba itashikiwa bango na"wachambuzi" kinoomanooma

    Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
  20. Sky Eclat

    Shukrani haiombwi wala haidaiwi, subiri ukumbukwe

    Kidawa alizaliwa wazazi wake wote wawili wakiwa vijana, walikua wapenzi tangu wakiwa shuleni. Baada ya uzazi wa Kidawa walihangaika sana kupata mtoto wa pili. Mama kidawa alifanya maombi mengi kwa Mungu, alibarikiwa kumpata mtoto wa kiume aliyepewa jina la Alex. Wakati huu Kidawa akiwa kigori...
Back
Top Bottom