suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nawashauri viongozi wasituhadae kwenye suala la gharama za mitandao

    Amani iwe kwenu. Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini. Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waziri TAMISEMI na uongozi Halmashauri ya Wilaya Hai tupieni macho suala hili

    Kwa masikitiko makubwa naomba kuwasilisha taarifa hii kwenu uongozi wa halmashauri ya wilaya Hai, kuhusiana na namna watendaji ktk Kijiji cha Mungushi wanavyohujumu mapato ya Kijiji yanayotokana na uuzwaji wa viwanja ktk eneo la Kijiji. Yameuzwa maeneo mengi sana na karibia Kijiji kinajaa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameamua kuwasikiliza Simba suala la utalii kupitia michezo

    Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier. Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Na Kila Mmoja Wetu Popote Naawe Mtulivu: Tuliangalie Suala la Mapenzi ya Jinsia

    Jambo lolote ambalo linafafanuliwa kama dhambi ni ouvu. Hii ni kwa sababu dhambi ni kosa dhidi ya akili na dhamiri safi. Kwa hiyo si tu kuhusu mapenzi ya jinsia moja au ndoa za jinsia moja, lakini kwa kweli mambo yote yanayokatwa na amri kuu ya mapendo kama ilivyofafanuliwa na amri kumi za...
  6. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iliangalieni suala la aina ya mipango ya elimu, hali ni mbaya

    Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na: 1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Bashe umefeli juu ya suala la chakula

    Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
  8. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  9. F

    JamiiForums Tanzania 'Kutofungamana na Upande wowote', sera iwekewe mkazo kuepusha migogoro ya kidiplomasia. Suala la Nemes Tarimo ni doa

    Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje? Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya siku ya leo serikali kutoa taarifa ya kilichotokea. Kuna wengine walidai ni mwanafunzi...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili la Wanaume wa Kigoma

    Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wa Kigoma wamekuwa wakiishi katika ndoa zao katika hali ya mateso na manyanyaso makubwa toka kwa wake zao. Wengi wamekuwa wakipokea vipigo mara kwa mara na kulazimika kunyamaa ili kuepusha hali ya sintofahamu katika jamii.hata hivyo waswahili walisema "mwenda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamati imetumia 'siasa’ suala la Fei Toto

    SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu. Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe kisiasa na kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Fei Toto...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwa suala la ununuzi wa rada nne nitakupongeza daima hayati JPM kazi ya kizalendo sana

    Kuna watu hapa JF wanakariri habari za miaka ya nyuma halafu wanazileta sasa bila ya kujua nini haswa wanachokiandika. Ni hawa wanaopenda kuandika habari za nchi kuibiwa, na habari za ndege kuonekana huko maporini. Hawa kuna mahali hawaelewi labda hawafahamu kuwa TZ ya sasa imenunua rada nne...
  13. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

    Nawafahamu watu hawa. Ndiyo ambao walimwita Fei Toto na kumchimba mkwara. Wakaharibu zaidi wakati sisi tunaenda kuongea na mama yake amkanye mwanawe wao wakaona wamwite yeye. === Alichoandika Saleh Jembe kwenye Ukurasa wa Instagram WANASIASA ACHENI KAMATI ITENDE HAKI, MSISHADADIE DHULMA...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

    Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
  15. JamiiForums Tanzania Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  16. JamiiForums Tanzania Utumiaji wa ugoro kwa vijana ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo

    Suala la vijana wa kitanzania kuamia katika matumizi ya ugoro ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo nchini. Utumiaji wa ugoro una faida mbalimbali za kiuchumi kwa watumiaji na wafanyabiashara Kama ifuatavyo. 1. Tofauti na hennesy ,matumizi ya ugoro uacha hela yote nyumbani, kuanzia...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna anayeupenda umaskini ila suala la kuzipata pesa za mauza uza hapana kwa kweli, wacha tuzisake kibishi turidhike na kidogo tunachokipata

    Hizo pesa za mauza uza hata waganga wanazikimbia ilhali wao wana uwezo wa kuzipata ila hawazitaki kabisa, hata mhitaji akifanikiwa kuzipata mganga anazikwepa. Mganga pale anakuwa ni dalali tu anaewaunganisha anaezitaka na majini. Huyo anaezitaka inabidi atoe kitu muhimu kwake kwa majini ili...
  18. JamiiForums Tanzania Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

    Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia. Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache unafiki kuhusu suala la Morocco

    Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu? Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je, nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…