Mabadiliko katika viwanda.
Andaa andiko litakalochochea mabadiliko katika #utawala bora au #uwajibikaji kuhusiana na suala la viwanda lisilopungua zaidi ya maneno 700 au yasiyozidi 1000
Utangulizi:
Viwanda ni muhimu katika maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote ile, kwani husaidia kutoa ajira...
Utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika suala la ajira katika nchi yetu. Ajira ni muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa maisha ya wananchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika suala la ajira...
Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko.
Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.
UPDATE
Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
Hello fellas!
Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama.
Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba...
Habarini wadau!
Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni.
Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile
1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama...
Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa, nyaraka kadhaa za jeshi la Marekani zimevujishwa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwa na taarifa kamili kama vile ramani ya Ukraine na sehemu ambazo askari wake wako na aina ya silaha walizonazo.
Moja ya nyaraka hizo imeandikwa “Siri Kuu” na...
Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo...
Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku.
Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na wateule, na hivyo kumuaibisha sana mheshimiwa Rais Samia, nikajua kuna tatizo na mchakato na mamlaka za...
Kwa mara nyingine tena Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha vikwazo dhidi ya Sudan. Azimio hilo nambari 2676 la mwaka 2023 lililotolewa na Marekani, limepitishwa kwa kura 13 za ndio na wajumbe wawili wa kudumu wa baraza hilo, yaani China na Russia, hawakuupigia...
Hivi karibuni Marekani ilitoa “Ripoti ya Haki za Kibinadamu katika Nchi mbalimbali Duniani”, na kulaani baadhi ya nchi kwa kutofanya vizuri katika kulinda haki za binadamu. Marekani hutoa ripoti kama hiyo kila mwaka. Lakini ukweli ni kwamba, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi moja...
Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua.
kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
Ikumbukwe kuwa Toto...
Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala...
Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa.
Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola.
Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.