suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ogopa viongozi wanaoamini suala la DP World nalo litapita

    Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine. Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time . Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la bandari linachukuliwa kama 'kiki' kwa wanasiasa

    Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona na jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili...
  4. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

    Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari. Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Bandari: Ushauri wa bure kwa Rais Samia, achana kwanza na suala la kuikodisha kwa wakati huu

    Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli za DP World katika bandari za huko nje walikuwa compromised, hili linaleta utata mkubwa. Ushauri...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

    Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ezra Chilewesa: Kwenye suala la Bandari, wananchi mtuache/tutaamua kwa niaba yenu

    Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao. Swali ni je, Si...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa Dini kuunguruma kesho kuhusu suala la Bandari na DP World

    Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho. Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao? ====...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

    Kwema ndugu zangu, Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya. Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo? Kinachonishangaza ni...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

    Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha. Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii. Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA jitathiminini suala la Muungano

    Ifike Mahali Chadema waitimize hamu ya Watanganyika, kwa kupigania maslahi ya Watanganyika pia. ukweli mchungu ni kwamba, kura zote mnaweza kupata ni za bara, Zanzibar hawaipendi chadema, na hawatakuja kuipenda kwasababu huwa wanaamini ni chama cha wakristo. siongelei udini, ila ukweli ni kwamba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Suala la bandari tuwape muda wabunge

    Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu.. tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
  15. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  17. JamiiForums Tanzania Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania JKT yakanusha suala la kunyanyasa vijana

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali kutokwenda kuripoti makambini, kwa kile kinachodaiwa kuwa eti, mafunzo ya JKT ni mateso, yana unyanyasaji...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane katika suala hili

    Bro, Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.! Hachana na wanaume wasiojielewa, wao na wake zao wanalumbana kila siku, Unajua kwa nini.!? Kwa sababu hawajielewi.! Hawavai kilemba cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…