sua

  1. A

    KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  2. A

    KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

    Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
  3. Mafyangula

    PostGE2025 Polisi Morogoro wamkamata Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SUA, Prof. Rasel Madaha kwa tuhuma za Uchochezi

    Kutoka kwenye ukurasa wa X wa Twaha Mwaipaya ametoa taarifa inayomuhusu Muhadhiri wa SUA kukamatwa na polisi Leo jumanne tarehe 2/12/2025 Police Mkoa wa Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel Madaha kwa tuhuma za Uchochezi kwenye Jukwaa la Whatsapp ambalo yeye ni...
  4. Technologiest

    KERO Foleni kubwa katika kupata huduma katika Mabenki

    Habari wakuu. Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini na ATM. Leo nataka tuangazie hili la huduma za kwenye matawi hasa zile za kufuata ndani ambazo kwa...
  5. Jamii Opportunities

    Employment Opportunities at Sokoine University of Agriculture (SUA)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Sokoine University of Agriculture (SUA) was established on the 1st July 1984 by the Parliamentary Act No.6 of the same year, which was repealed by the Universities Act No.7 of 2005 from which the SUA Charter was granted in 2007. The vision of the University is to be a...
  6. Wickama

    Miche toka Morogoro

    Wakuu, niliagiza miche ya miembe toka Morogoro. Kwa kweli quality yake ilinitia mashaka. Shambani ni kama 70% ili-fail. Rafiki yangu akanishawishi niagize toka Nairobi. Kwa kusita nikaagiza. Hii ilikuja mizuri sana kwa bei sawia. Hadi leo 90% ipo shambani. Nauliza Kuna yeyote humu amepatwa na...
  7. dogman360

    Bachelor of science in human nutriton (SUA),Bachelor of Science in Clinical Nutrition and Dietetic(UDOM),Bachelor of Science in Food, Nutrition(OUT)

    Wakuu naomba tofauti kati ya hizo kozi na pia je hali yake ya ajira ipoje kwa sasa
  8. Right Marker

    Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  9. Rebeca 83

    Kwanini vijana wa SUA hawana ajira?

    Hello JF... Leo nauliza kwa nini wanafunzi wa SUA hawana ajira.??? Wenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira... Kwa nini serikali isijenge vyuo vingi vya Kilimo watu wasome... Watu kuanzia waliomaliza darasa la saba mpakla form six waliofeli waingie kwenye hivyo vyuo wasome...
  10. Roving Journalist

    Morogoro: Polisi yachunguza tukio la Mwanafunzi wa SUA kukutwa amejinyonga katika makazi ya Wanachuo

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza tukio la kifo cha Yosia Johani Keya (25) mwanachuo mwaka wa tatu katika chuo Cha kilimo cha Sokoine (SUA). Tukio hilo limefahamika tarehe 9.3.2025 asubuhi huko katika eneo la makazi ya wanachuo hao kampasi ya Mazimbu, kata ya...
  11. MURUSI

    Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

    Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea. Sasa wengi hawajui...
  12. P

    TANZIA Mwanazuoni na Mwanasayansi Prof. Anselm Biseko Lwoga afariki dunia

    Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...! Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
  13. Hismastersvoice

    DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  14. I

    SUA wanatoa kozi ya Nursing?

    Hivi nikweli kwamba sua inatoa kozi ya nursing?
  15. M

    SUA wazindua nyama zanizotokana na mimea

    Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili. Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa taarifa hii ni Claud Mshana kutoka Azam TV. Wataalam njooni mtuambie hiyo inakuwa ni nyama au mbogamboga...
  16. Gilbert Prudence

    Ugumu wa ajira Kwa wanafunzi wa SUA

    Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D 50-59 ni C 60-64 B 65-69B+ 70-100A Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano mtu mwenye G.P.A ya 3.5 SUA vyuo vingine anakuwa na G.P.A ya 4.3. Kwahyo kwenye qualifications za...
  17. A

    KERO Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa

    Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa. Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi? Mamlaka husika zichukue hatua.
  18. Kiplayer

    SUA ni muda muafaka jina libadilike

    Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
  19. robinson crusoe

    Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
  20. A

    DOKEZO UBORA WA ELIMU inayotolewa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) unatia shaka

    Wakuu, Heri ya mwaka mpya 2024. Barua hii ni taarifa kuhusu ubora wa elimu inayotolewa katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwa ufundishaji na utoaji wa masomo ya Shahada za elimu zenye masomo ya Fizikia yaani, BSc. Education (Physics and Chemistry), BSc. Education (Physics and...
Back
Top Bottom