Tusitafute plan kocha hana mbinu ya kusoma mchezo,maana wachezaji ndo wanaopokea maelekezo kwa Kocha.
Baada ya mechi ya jana Francis Baraza alisema, tulipoingia uwanjani tulijua Simba wana mpira mwingi wa kuanzisha, na wakaingia na viungo wengi, mbinu yao ikawa kuwadhiti kipindi cha kwanza na...