stori

Kabir Stori (6 April 1942 – 4 April 2006) (Pashto: کبیر ستوری‎) was a Pashtun nationalist, poet, and writer from Kunar Province of Afghanistan. He was chairman of the Pashtoons Social Democratic Party, a political party that he founded, until his death.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeikumbuka hii stori

    First part ( 1) **** I'm a church boy if you ask, you know what is funny about it all, Ladies have taken their allegations to the next level, calling nice guys simp, but are they? Hey kuna this girl, I refer her a girl because I don't think I love her anyway. Is my story worth telling, I say...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi; 1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi ya Maprofesa ndani ya ndege

    Stori kidogo Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli Allys anamfanyia fitna Katarama au ni stori ya vijiweni?

    Yani Katarama ikotoka kesi hii inakuja kesi nyingine, kama sasa hivi wana soo nyingine huko LATRA. sasa wahuni mtaani wanasema allys roho inamuuma maana competition ya Katarama ni next level ndio maana anamfanyia majungu na fitna.
  5. JamiiForums Tanzania Stori za mchongo/chai huku MMU za nini sasa?

    Wakuu, Mtu umechoka, unaingia jukwaa la MMU ili angalau upate auheni na kujifariji baada ya uchovu wa siku, lahaulaa!!! Unakuta story yenye tittle nzuri kabisa kumbe ni chaiii.....daah inakera big time yaani...achenii Wengi tuliopo kwenye jukwaa hili tuna malengo tofauti Kama; kujifunza...
  6. JamiiForums Tanzania Mwambieni huyo crush wangu asiendelee na hiyo stori yake inaniumiza!

    Ni heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...? naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote nilikuwa natetemeka almanusra nizimie!. Nashindwa hata kuandika vyema ila asikilize huu wimbo wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Idd Makengo anatunga stori na kuwapumbaza watu hasa wanawake

    Ukisoma visa ya Idd Makengo, utagundua 99% ni visa vya kutunga. Yaani anatengeneza mtiririko wa matukio bandia ili apate likes na comments akuze page yake. Sasa kwenye comments unakutana na wanawake hata 2000. Wanakoment kwa hisia, kumbe ni hadithi za kutunga.
  8. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

    Asalam alyekum wakuu. Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya. Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu ngoja niwape stori fulani hivi kwenye muziki wa HipHop nchini Marekani

    Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na kuanza kupiga kelele mitaani na Mixtape yake fulani hivi. Hakuna yeyote kwenye hii Big Four...
  11. JamiiForums Tanzania Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni, Popo Bawa kaonekana mbagala, stori hizi zimefia wapi ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. Shule kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi...
  12. JamiiForums Tanzania Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu. Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu ya wapenzi wapya kufurahiana na kuongea sana ni kwa kuwa hamjuani sana, mkishazoena na kujuana basi stori zinaisha.

    Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii. Hii saikolojia iliyothibitishwa. Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile. Hata kwa wapenzi ni hivyo hivyo, hakuna tofauti ya kweli kivile. Wengine huenda mbali zaidi kiasi cha kuwachukia wenzi wao...
  14. JamiiForums Tanzania Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

    Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza. Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
  15. JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  16. JamiiForums Tanzania Ipe jina stori hii fupi

    Wawili (me&ke afu wapenzi) wanatembea kwenye njia yao (walkway). na wametanua njia (freely),bodaboda akaja kwa MWENDO na ikambidi apige honi wampishe..,"ME" akashtuka na nakusema, unapitaje HUKU wakati BARABARA kubwa ipo? Haraka bodaboda akajibu, UMASKINI wako ndo unakupigisha kelele na...
  17. JamiiForums Tanzania Ikiwa tunasoma kuwa Mungu na shetani walikuwa wanapiga stori, kwa nini iwe shida kwa Mbowe na Makonda kuzungumza?

    Mpo salama bila shaka! Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana katika siasa za rohoni, lakini tunasoma walikuwa Wanapiga stori na kuteta juu ya Wanachama wa vyama...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli upoje kuhusu stori kwamba JWTZ ilibaki Uganda kuanzia 1978 hadi 1983 na katika kipindi hicho Uganda lilikuwa koloni letu kwa muda?

    Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi. Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo. Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi? JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

    Kwema Wakuu! Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema. Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa...
  20. JamiiForums Tanzania Stori (ya Kisukuma) inayoelezea kuanza kwa jua, mwezi na nyota duniani

    "LIMI BUPE ISANA: "Bhanhu bhakatongela bupe. "Bakaja lushiku lumo ku Ban'igulu n'itandala lya Lububi. Lububi lwali giti 'giligilita' yabo. "Aliyo ban'igulu bakabi na wisu: bakabis'Isana nu tusandiko twa bubhi twalekanile na twa wiza. "-Huna lulu, bhakashoka mu Si. Aho balugula ikundikikijo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…