Tesla hadi sasa ameshafungua stores zake kwenye mabala matano kati ya saba, kasoro Africa na Antarctica.
Sio mara ya kwanza Elon Musk aliwahi kuulizwa kuhusu kutaka kuingia Africa, sana sana bara alipozaliwa South Africa, akaishia kusema tu soon.
Sasa nadhani ndio soon aliyoisema, kwani...
"Katika dunia ya sasa, kila kitu kinapaswa kuwa karibu nawe kwa urahisi. Ndiyo maana Bishoo Tanzania inakuletea soko la kidigitali lililotengenezwa kwa ajili yako. Unataka kuuza bidhaa zako, kununua unachohitaji, kupanga nyumba, kubadilishana vitu, au hata kutafuta kazi mpya? Bishoo Tanzania...
Salama wakuu,
Habari za jioni wakuu? Naomba niende straight kwenye point,
Nimemnunulia mtoto wangu tablet aina ya Atouch ambayo inatumia android version 13. Sasa bwana hii tablet changamoto kubwa ni kufanya installation ya apps. Ukiingia kwenye play store ukachagua app ya kudownload, inafanya...
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY.
Kuna Maduka 60 na Stores
Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi
Bei 8bill tsh
Contact us and Schedule a visit!!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Katika uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na kampuni ya Top10VPN Threat Prevention Team (TTP), imebainika kuwa zaidi ya dozens ya VPN apps (programu za mitandao binafsi ya faragha) zinazopatikana kwenye Apple App Store na Google Play Store zinamilikiwa kwa siri na makampuni ya Kichina, licha...
Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI),
kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake.
Feature hii inatumia...
Power Providers is seeking an individual to take responsibility for carrying out the following tasks.
Key Duties & Responsibilities:
1. Being responsible for recruitment, management, supervision and training of department employees
2. Being responsible for maintaining the organization...
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa.
Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo.
Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
Kuna App nimeikuta Play Store inaitwa e-livestock Auction, inatoa huduma za kutangaza bidhaa za Mifugo na pia inakupa furusa ya kumpata Muuzaji Kwa njia ya Simu pia inakuonyesha umbali alipo na muda unaweza kutumia kumfikia.
Naona Masharti ya kujiunga ni ama kutumia namba ya simu ya mkononi ama...
Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo naomba muongozo.
Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo.
Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store'
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store:
- Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu
- Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.