stergomena tax

Stergomena Lawrence Tax (born 6 July 1960) is a Tanzanian civil servant who serves as the incumbent Executive Secretary of the Southern African Development Community (SADC).

View More On Wikipedia.org
  1. MSAGA SUMU

    Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea. Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Stergomena Tax anaweza akabaki mwanamke pekee kuwahi kuongoza Wizara ya Ulinzi

    Mh. Stergomena Tax anaweza akaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mwanamke pekee kuwahi kushika wizara nyeti ya Ulinzi. Baada ya kuondolewa hyo jana, ambapo amehudumu kwenye wizara hiyo kwa mwaka mmoja tu nafikiri Rais Samia ashaona kuna wizara sio za kufanya majaribio ya kuwaweka...
  3. BigTall

    Waziri Dkt. Stergomena afungua semina ya Wanawake, asisitiza washirikishwe katika amani na usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua Semina kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women Peace and Security Agenda) iliyofanyika tarehe 07 Juni, 2022 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Akihutubia washiriki wa Semina hiyo akiwa...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi Na JKT, Dkt Stergomena Tax akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi 2022/23 Bungeni

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX (MB), WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA...
  5. BigTall

    JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  6. Pdidy

    Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  7. Miss Zomboko

    Mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali waapishwa Ikulu, Dodoma

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mawaziri wateule wanne na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Mawaziri ni Dkt. Stergomena Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, January Makamba Waziri wa Nishati, Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi na Dkt...
  8. Requal

    Miaka yote nilijua Dkt. Stergomena Tax sio Mbongo

    Huyu mama nilikuwa namuona akiwa kiongozi SADC lakini miaka yote hiyo nilijuaga sio mbongo, Nimeshangaa kuona jina lake kwenye uteuzi leo. Au sio huyu wakulungwa?
  9. The Father of All

    Uteuzi wa Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT ni mpango au njama za CCM?

    JUMANNE, AGOSTI 24, 2021 MAKALA Rais Samia tuteulie Waziri wa Ulinzi mwanamama Na Nkwazi Mhango KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa, wizara hiyo imebaki na pengo ambalo lazima lizibwe. Kwanza naomba nitumie fursa hii kutoa salamu za...
  10. The Assassin

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  11. The Sheriff

    Elias Mpedi Magosi, mrithi wa Dkt. Stergomena Tax kiti cha Ukatibu Mkuu wa SADC

    Elias Mpedi Magosi Elias Mpedi Magosi ameidhinishwa kukalia kiti cha Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), akimrithi Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Mtanzania aliyehudumu nafasi hiyo tangu mwaka 2013. Dkt. Tax ni mwanamke wa kwanza kabisa kuiongoza SADC katika...
  12. Roving Journalist

    Dkt. Stergomena Tax amaliza muda wake SADC

    Dkt. Stergomena Tax akiwa na mrithi wake Bw. Elias Mpedi Magosi, raia wa Botswana Katibu Mkuu wa nne wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Dkt. Stergomena Tax amemaliza muda wake Dkt. Stergomena alichukua nafasi hiyo September 2013 na ameaga rasmi Agosti 2021 Elias Mpedi Magosi...
Back
Top Bottom