Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.
Wasira na Dk...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu mwenezi Wanachama wa CCM taifa. Wanachama wa CCM wengi kwa sasa wanakiri wazi wazi kuwa hao jamaa ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali kushiriki uchaguzi ili washindane.
Akiwa Tukuyu, mkoani Mbeya Machi 20 Wasira amesema "tunataka waje...
Wananchi wa Mbeya, Rungwe wameonyesha kutoridhishwa na viongozi wa serikali na chama kwa kile walichokiita "kuingiza siasa kwenye maisha ya watu." Malalamiko haya yalitolewa Machi 18, 2025 mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, ambapo wananchi walieleza...
Hali ya siasa ni shwari zaidi kwa upande wa CCM na ushindi wa kishindo uchaguzi ujao ni wa uhakika na unanukia vizuri sana kwa ngazi zote za urais, ubunge na udiwani.
Na mpaka sasa hakuna anae furukuta tena ndani na nje ya CCM kwenye medani za siasa za Tanzania, mbele ya mkongwe huyu na jembe...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameitaka Wizara ya Kilimo kufanya uchunguzi wa umiliki wa ardhi inayoshikiliwa na Mohammed Enterprises Ltd wilayani Rungwe, Mbeya, ili kuona kama kampuni hiyo imeshindwa kuiendeleza na kurudisha ardhi hiyo serikalini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa Kahawa wa wilaya ya Rungwe ndani ya siku 14, baada ya malalamiko ya wakulima hao kuwasilishwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Machi 18, 2025, katika stendi...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya kutokana na jinsia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amezungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo.
Akizungumza na wana CCM hao katika Ukumbi wa Seselembe, Ileje leo, Machi 16, 2025, Wasira...
Wakuu,
Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani Songwe akiwa katika ziara mkoani humo, alisema kuwa katika Ilani...
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura.
Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
Hakika nimecheka sana baada ya kuona video hii ya Babu Wasira:D:D:D
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, , Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025 ametembelea na kukagua ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Songwe iliyoko wilayani Mbozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akilakiwa na Vikundi vya ngoma akiwasili katika Ukumbi wa Kanisa kuzungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi Mbalimbali wilaya ya Mbozi, Leo Machi, 14, 2025.
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Wakuu,
Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka!
====
Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake wa Chadema, Tundu Lissu kukizua mjadala, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Ndugu zangu Watanzania,
Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
Wakati kuna vijana wanabubujikwa na machozi ya furaha humu kila siku.... wanajitahidi kwa kila siku kuanzisha nyuzi hadi 5 kutetea matamko na viongozi then nafasi nyeti anaenda pewa BaBu Wassira... Ukimtafuta kwa sasa unamwona tayari ameshachoka pumzi imekata. imekata mapema sana.
Mzee ataweza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.