Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Ilazo jijini Dodoma...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia ni majadiliano, hoja na maelewano kwa lengo la kuimarisha umoja na ushirikiano katika kujenga taifa.
Amesema demokrasia sio vurugu kama ambavyo baadhi ya wanasiasa hususan wa vyama vya upinzani...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa Dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, kikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa.
CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa...
WASIRA:CCM TUNAHUBIRI AMANI KWA SABABU NDANI YAKE KUNA HAKI.
Asisitiza Chama hakiwezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo
Na Mwandishi Wetu, Tabora
MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika...
WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo.
Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano.
Wasira ametoa kauli hiyo jana akiwa katika mkutano wa hadhara alipokuwa akizungumza na wana CCM wilayani Urambo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .
Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.
Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara...
Chama Cha Mapinduzi kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amani na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Steve Wasira amewaagiza Wenyeviti wa CCM ngazi za mkoa na wilaya nchini kusimamia maadili wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu ili kuwapata wagombea wanaokubalika kwa watu badala ya wale wanaotegemea pesa kama mtaji wao wa kuwafanya wateuliwe...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amefichua kuwepo kwa tuhuma za mtu mmoja anayehusishwa na kugawa fedha kwa wajumbe wote wa CCM Wilaya ya Ilala kiasi cha shilingi laki moja kwa kila mwezi, kwa lengo la kujitengenezea mazingira ya jina lake kupitishwa katika...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.
Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze...
https://www.instagram.com/reel/DHvHL1bOb01/?igsh=azBpMGl4d2VlbW4z
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo wa kuzuia Uchanguzi Mkuu wa Mwaka 2025 usifanyike na kuwataka Watanzania kuwapuuza Viongozi wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Machi 27, 2025 katika...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu.
Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.