stephen wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Propaganda mitandaoni hazina ukweli, nchi ipo salama, mkapige Kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo salama, wananchi wakumbushwe na kuhamasishawa kuwapigia kura wagombea wenye sifa ambapo kwa upande wa urais ni Dk. Samia Suluhu Hassan anayetokana na CCM. Amesema zipo propaganda chafu katika mitandao...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Kwa miaka minne Samia ameonesha uwezo mkubwa na ujasiri wa kuongoza Nchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza. Amesema kukamilika kwa miradi mikubwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Kuna maswali kuhusu Polepole, alisema ametelekezwa Cuba halafu ghafla ikawa ametekwa Tanzania!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii" "Uhalifu siyo ishu ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Samia usibabaishwe na chokochoko za wachache Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema wanaofanya chokochoko si wananchi wote, bali ni watu wachache wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii. Amesema Rais Samia ametekeleza majukumu yake kwa muda mfupi kwa mafanikio makubwa, na kumsihi asibabaishwe na kile alichokiita “chokochoko...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Wanaohubiri kufuta stakabadhi Ghalani wanataka kurudisha wizi kwa wakulima

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kusimamia na kusisitiza mfumo wa stakabadhi kwa wakulima na kwamba chama chochote kitakachokuja na sera ya kuufuta kinataka kuleta wizi na dhuluma kwa wakulima. Hayo yameelezwa Oktoba 1, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Wewe unanung'unika tu maandamano utakula maandamano?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kunung'unika na kufikisha ujumbe wa changamoto mbalimbali kwa njia ya maandamano kumepitwa na wakati Amesema Watanzania wanataka maendeleo ukiwemo ujenzi wa miundombinu muhimu ambayo itarahisisha shughuli za...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Vituo vya afya vilivyojengwa chini Rais Samia ni kama hospitali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kwa miaka minne ya uongozi wake, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanikisha mambo makubwa, hivyo Watanzania wanapaswa kumrudisha madarakani ili aendelee kuleta maendeleo. Wasira amesema hayo leo, Septemba 27, 2025...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Madiwani acheni kutafua Uenyekiti na Umeya kabla ya uchaguzi kuisha "Siwatishi"

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaonya baadhi ya wagombea udiwani katika maeneo mbalimbali ambao wameanza harakati za kusaka uenyekiti wa halmashauri na umeya, kabla ya uchaguzi. "Kwa madiwani ninawaomba sana sio hapa Mkinga, hapa sijaambiwa lakini huko...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Mchagueni Dkt. Samia yupo tayari kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania. Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM tumedhamiria kuendelea kuleta mabadiliko katika maendeleo ya Watanzania

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Chama kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi. Aidha, amesisitiza wananchi wandelee kukiamini na kukipa nafasi Chama kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ni jambo la aibu kwamba tunaishi na maji lakini hatuna maji

    Katika kampeni zinazoendelea, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, alisisitiza Sera ya Maji, akizungumza mbele ya wananchi wa Musoma Mjini. Akitoa kauli yake, alisema: "Ni jambo la aibu kwamba tunaishi na maji lakini hatuna maji," kauli iliyolenga kuibua mjadala kuhusu changamoto ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Badala ya kulalamika fanyeni kazi muwe kama Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amewataka watu wanaohoji kwanini wanamsifia Mwenyekiti wa chama hicho Samia Suluhu Hassan kuacha kulalamika badala yake nao wafanye mambo mazuri ya maendeleo ili wasifiwe. Amezungumza hayo mjini Musoma Septemba 6, 2025 kwenye...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ilani ijayo 2025 - 2030 CCM kuinua uchumi jumuishi kwa Watanzania

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa Otoba 29, 2025, Dk. Samia Suluhu Hassan, atapigiwa kura nyingi kwa sababu wananchi wameiona kazi kubwa aliyoifanya kuleta maendeleo kwa miaka minne iliyopita...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Tusahau mchakato wa Uchaguzi, sasa tuungane kusaka Dola

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena. Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Mitambo iko sawa, Kampeni rasmi kuanza Agosti 29, 2025

    Stephen Wasira amesema Mitambo iko sawa, Agosti 29,2025 tutanza Kampeni rasmi na kwa muda wa siku 60 mitambo itaenda kila mahali Tanzania
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Itakuwa jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi, tunasikitika wana matatizo mengi

    Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu. Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

    Wanabodi Watch TBC live Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
Back
Top Bottom