stephen wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wassira Mdahalo tayari umefanyika

    Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza tena kuwa za haki kwa sheria zilizopo sasa. Sasa unaposema unataka mdahalo na Lissu ni wa nini hasa...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kasi ya mikutano ya kisiasa ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Stephen Wasira imewakosesha wapinzani agenda

    Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je Mzee Wasira amesusiwa Chama? Naona anapambana peke yake.

    Zile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu. Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni tena watu Konki wakitoka nje kuongea na Wanachama. Hoja zote za uchumi, siasa, afya, michezo na sanaa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Rais Samia aliita vyama vya Siasa, CHADEMA hawakuja kwenye maridhiano

    "Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo. "Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Lissu alimuita John Magufuli Rais wa ajabu, anaujua uajabu wake!

    Wakuu Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema; "Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni tume hiyo hiyo ya Mwaka 2020 na wao wanasema mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mbaya na wao walikuwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wasira ana haki ya kusinzia, tusimlaumu. Asema CCM inarejesha Viongozi waliochoka

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa kutokana na umri wake mkubwa na kuwataka wananchi wasipoteze muda kumjadili. Akizungumza katika...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya. Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Mara Heche: Wasira aachane na vijana, afanye mambo ya umri wake

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kuacha kutumia majukwaa kutoa kauli tata ambazo hutolewa na vijana kwani akiendelea kufanya hivyo itampunguzia heshima kutokana na umri...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS Mara yamtwisha mzigo Wasira ujenzi barabara muhimu

    Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Eng. Vedastus Maribe, amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kusaidia kushinikiza Serikali kuu ili kuhakikisha barabara muhimu za mkoa huo zinajengwa kwa kiwango cha lami. Maribe...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA hawakufanya kampeni, halafu wanadai wameibiwa kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan Chadema, vimedai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliowanyima ushindi wagombea wao. Hata...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM nia yetu ni kuwapatia Wananchi maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi

    Wakuu Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi. Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika "Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

    Wakuu Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu? Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao. "Lissu sio size ya Rais, Lissu ni mdogo na Rais ni mtu mzito...
  14. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira asema CCM imekomboa elimu ya wanawake Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kuwa CCM imefanya juhudi kubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu kwa wanawake wa Tanzania. Akizungumza wakati wa Kongamano la Wanawake lilioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake ya CCM (UWT) mjini Dodoma, Wasira...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  16. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini sana na Stephen wasira ni kigeugeu sana

    1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI. Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake. NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo. Akizungumza Januari...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais. Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu...
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: CHADEMA wapo honeymoon

    Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho...
Back
Top Bottom