spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

    Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
  2. Q

    Spika Ndugai: Mkiniona naharibu alaumiwe Makinda

    Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza. "Mama Makinda amekaa humu Bungeni takribani miaka 40 hii rekodi siyo rahisi na yeye...
  3. Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
  4. Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  5. S

    Wabunge na mavazi yao sio jambo katika Taifa la leo

    Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
  6. Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
  7. P

    Less government ya Spika Ndugai naiona imekaa kisiasa zaidi, Serikali ndogo kwa sasa hatuiwezi

    Nimeitazama ile video ya Mheshimiwa Job Ndugai inayotembea mtandaoni, anasema serikali ipunguze kuingilia kila kitu. Anatua maneno watu waachwe wajinafasi na sio kila wakipita wanakutana na mkono wa Serikali. Kikatumika kingereza akisema maneno 'Less Government' akimaanisha kupungua kwa uwepo...
  8. N

    Spika umenena kweli kuhusu Bunge kufuatilia ajira lakini kwanini ni baada ya awamu ya tano?

    Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale. Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
  9. Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

    ====== Speaker wa bunge,Job Ndugai " Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali, ukigeuka...
  10. J

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  11. J

    Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

    Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
  12. J

    Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu. Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote. Source: Channel ten
  13. N

    Tunawezaje kumng'oa Spika katika nafasi yake? Katiba yetu inasemaje?

    Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of Speaker by a resolution of the National Assembly supported by not less than two-thirds of all"...
  14. N

    Tunawezaje Kumtoa Spika katika Nafasi Yake? Katiba yetu Inasemaje?

    Add bookmark #1 Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of Speaker by a resolution of the National Assembly supported by not less than...
  15. N

    Tunawezaje kumtoa Spika katika nafasi yake? Katiba yetu inasemaje?

    Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of Speaker by a resolution of the National Assembly supported by not less than two-thirds of all" "(h)if it...
  16. T

    Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

    Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya. Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu...
  17. M

    Tunaomba Kanisa Katoliki na KKKT watusaidie kukemea uvunjaji wa Katiba unaofanywa na Spika wa Bunge na Naibu wake

    Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi, Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu. Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
  18. Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  19. Kuna Siku Spika ataoneka Shujaa ile kura ya kutokuwa na imani ikiitishwa

    Muda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time will tell
  20. J

    Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

    Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…