Huyu ni Motivational Speaker, umegundua nini?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Waswahili wanamsemo wao unaosema "unaopoona unaitiwa fursa basi tambua kuwa wewe ni fursa".

Umegundua nini kwenye hii picha?
4qoce451nw551_1.jpg
 
Ana miaka 2 kashindwa hata kufikisha 8 views.

Cha ajabu anawafundisha watu kufikisha 1 million views in just 3 days!
 
Back
Top Bottom