south africa

  1. Yesha

    Zimbabwean Comedian Learnmore Jonasi Hit With $27 Million Lawsuit by Lebo M Over 'The Lion King' Chant Joke

    Zimbabwean comedian Learnmore Jonasi has found himself at the center of a major legal storm after South African music legend Lebo M filed a $27 million lawsuit over a joke linked to Disney’s iconic film, The Lion King. The dispute stems from a comedy segment in which Jonasi humorously...
  2. B

    South Africa is now on fire ! A raging fire destroyed the Botha Sigcau Building in Mthatha !

    The historical Botha Sigcau Building in Mthatha in the Eastern Cape, which accommodates more than eleven government departments, is on fire on March 24, 2026 . It’s still unclear what caused the fire. The building accommodates departments such as Health, Education and Land Affairs. Earlier...
  3. Yesha

    Hearing in Chatunga Mugabe Attempted Murder Case Delayed Again in South Africa

    The Alexandra Magistrates Court has once again postponed proceedings in the attempted murder case involving Chatunga Mugabe, drawing renewed attention to one of Zimbabwe’s most high-profile legal matters abroad. The next hearing has been set for April 17. The case first made headlines after...
  4. Yesha

    Bellarmine Mugabe Could Be Deported from South Africa

    Bellarmine Chatunga Mugabe, son of Zimbabwe’s late president Robert Mugabe, is facing possible deportation from South Africa. Authorities say he has been living in the country illegally, having previously been denied entry. The issue comes amid his legal troubles after a gardener was shot at his...
  5. Fbn

    DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  6. stakehigh

    My personal opinion: South africa atashinda AFCON

  7. Fbn

    South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
  8. Sifi Leo

    Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  9. Fbn

    Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  10. The Palm Beach

    Facts about Africa: Four countries dominate every sector - Nigeria, South Africa, Morocco & Egypt

    (1) Largest country in Africa by land mass - Algeria 🇩🇿 2) Largest country in Africa by population - Nigeria 🇳🇬 3) Largest movie industry in Africa - Nigeria 🇳🇬 4) Largest democracy in Africa - Nigeria 🇳🇬 5) Richest Black man - Nigerian 🇳🇬 6) Richest African woman - Nigerian 🇳🇬 7) largest...
  11. R

    Mauaji ya Sharpeville, South Africa

    Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre The Sharpeville massacre occurred on 21 March 1960, when police opened fire on a crowd of people who had assembled outside the police station in the township of Sharpeville in the then Transvaal Province of...
  12. ndege JOHN

    Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  13. Hance Mtanashati

    Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa nchi ya hatari zaidi Afrika kuliko hata South Africa

    Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
  14. ELI COHEN

    Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

    1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶 Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
  15. Mama Ametufikia

    Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  16. Scared

    Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
  17. P

    An eye on what’s happening in south africa: operation dudula

    Operation Dudula which is currently perceived as nationalistic movement against foreign nationals in South Africa is tarnishing the image of the country. Many People are now living in fear. Xenophobic indigenous people are committing crimes, harassing foreign nationals under pretext of taking...
  18. M

    Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma huko. Nimemaliza form six mwaka 2024 nikiwa na division one of points six , A in chemistry, B in...
  19. S

    Afrika Kusini mbioni kubadili jina kuwa Azania, na kuzidi kufanana na Tanzania katika jina, wimbo wa taifa na bendera!

    Mara nyingi Tanzania na South Africa zikiwa pamoja na nyimbo za taifa kupigwa, mwanzoni kunakuwa na confusion kutambua kama ni wimbo wa Tanzania au South Africa unaopigwa. Sio hapo, ukiangalia bendera ya South Africa haraka haraka, unaweza kudhani ni bendera ya Tanzania. Na sasa South Africa...
  20. Yoda

    Trump amlipua Elon Musk, amuambia bila ruzuku ya serikali angefilisika na kurudi kwao South Africa

    Elon Musk alijua, kabla hata hajanipigia debe kwa nguvu kama Rais, kwamba nilikuwa napinga vikali agizo la magari ya umeme (EV Mandate). Agizo hilo ni la kipuuzi, na lilikuwa sehemu kuu ya kampeni yangu tangu mwanzo. Magari ya umeme hayana shida, lakini si kila mtu anayepaswa kulazimishwa...
Back
Top Bottom