• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

songs

 1. Da'Vinci

  Recomend me three songs, I'll listen them

  Hi guys, Naomba m-suggest nyimbo 3 ambazo mnapenda sana. Mimi nitazisikiliza, iwe aina yoyote ile ya wimbo. Vizuri unavipata kwa bahati mbaya. Mimi zangu ni hizi.. The Go Go's _ Vacation. (Spiderman far from home soundtrack ) UB40 _ Red Red Wine St. Anna Choir Yombo Dovya _ Mbingu zinahubiri
 2. Da'Vinci

  African old school hit songs collection

  Habari, Naomba msaada wenu. Kama wewe ni mzee wa zamani au miaka ya 90 na 2000 ulikua unaenda Disko (Ulikuwa ushapevuka wakati huo), basi naomba uniorodheshee nyimbo zile mlizokua mnazicheza hasa za Kiafrika. Au hata kama ulikua unamsikia mzazi anauimba au kusikiliza wimbo wa zamani utaje hapa...
 3. H

  Your Best Song Released in 2018

  What is your best song released this year? For Me, i think its Black Coffee & David Guetta Drive Ft. Delilah Montagu
Top