Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali na Waziri wa Habari, Osman A Dubbe Rais amesaini Sheria hiyo ambayo ilipitishwa na Bunge. Hata...
Viongozi wa upinzani nchini Somalia na majimbo ya mkoa wa Jubbaland na Puntland, pamoja na baraza la seneti la nchi hiyo, wamepinga uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili.
Bunge la Somalia Jumatatu lilimwongezea muda Rais Mohamed Abdullahi Farmajo kuwa madarakani...
Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua.
Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.
Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.
Njooni tuwape...
SOMALIA YAOKOA UGANDA NA TANZANIA KUTOKA KWENYE VITA
KWA UFUPI
Kukomesha mvutano. Kufuatia mvutano kati ya Uganda na Tanzania 1972, katibu mkuu wa OAU aliwasiliana na Kenya kupatanisha. Hata hivyo serikali ya Jomo Kenyatta ilikataa. Huku Kenya ikikataa kupatanisha, wakuu wengine wa nchi...
Serikali ya Somalia imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba Serikali ya Kenya inaingilia kati masuala yake ya ndani.
Nchi hiyo jirani wa Kenya, imetangaza kuwafukuza wanadiplomasia wote wa Kenya na kuagiza wanadiplomasia wake wote walio Nairobi kurudi Mogadishu ndani ya siku...
Wiki iliyopita Somalia iliamua kufurusha Balozi wa Kenya nchini humo kwa madai kuwa Kenya ina interfere na siasa ya Somalia. Sasa kwa sababu Somalia ndio wamelianzisha basi sisi tunalipiza tu mapigo.
Sasa Kenya imealika President wa Somaliland kuja Kenya on a state visit. Hakuna nchi yoyote...
Hii article inaelezea vizuri chanzo cha vita baridi kati ya Kenya na Somalia. Inatoa information nyingi ambayo sikuwa najua kuhusu Somalian politics. Inasema kuwa mawaziri na wanasiasa wa Somalia huwa wanapenda kuja na kujivinjari Nairobi. Wanaishi kwenye mahoteli kubwa kubwa. Wanapenda kuja...
Hali ya wakulima Miraa nchini Kenya imekuwa ngumu sana baada serikali ya Somalia kupiga marufuku miraa kutoka Kenya. Kwasasa Somalia imeruhusu miraa kutoka Ethiopia kuingia nchini humo. Zao la miraa hupatia Kenya mamilioni fedha za kigeni. Marufuku hii imefuata baada ya serikali ya Kenya kupiga...
Kenya’s persistent trade tiffs with neighbours may be a result of dynamics beyond the region, which could require political solutions.
Two of Kenya’s neighbours, Somalia and Tanzania, have recently stalled business ventures for Kenyans over alleged bad policy by Nairobi. Tanzania cancelled...
Maharamia wa Somalia wameiteka meli ya yenye bendera ya Panama-iliyokua ikisafiri kutoka Muungano wa Kiarabu ikielekea kwenye bandari mjini Mogadishu.
Meli hiyo ilishambuliwa usiku wakati wahudumu wake walipokua wamelala. Shirika la habari la Anadolu limewanukuu maafisa wa jimbo lililojitenga...
Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa kuuawa katika hoteli ya - Elite Hotel iliyopo katika eneo la ufukwe wa Lido, pamoja na wanamgambo...
Miraa traders are up in arms after another plane ferrying 11 tonnes of the produce to Puntland in Somalia was turned back for allegedly violating Covid-19 restrictions.
This is the second plane to be ordered back to Kenya by Mogadishu in a month. One ferrying 13 tonnes was denied entry early...
Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane
Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu.
The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting.
Photos...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya.
Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
Watu wawili waliopatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12 mwezi Februari mwaka jana wameuawa katika mji wa mashariki mwa Somalia wa Bosaso.
Mtu wa tatu bado anachunguzwa ingawa mahakama ilimuhukumu kifo pia.
Abdifatah Abdirahman Warsame na Abdishakur Mohamed walipigwa risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.