somalia

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo 67 wa Al-Shabaab wauawa Somalia

    Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia. Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema katika mapigano hayo Wanajeshi walimkamata mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa akipanga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Uwekaji alama Loliondo, mitutu ya bunduki kama Mogadishu Somalia

  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 250,000 wakabiliwa na baa la njaa Somalia

    Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, nchi hiyo inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kushuhudiwa ndani ya miaka 40, uliosababishwa na mvua kutokunyesha kwa misimu 4 huku bei ya chakula katika soko la dunia ikizidi kuwa juu Ripoti za mashirika ya kibinadamu FAO, WFP na UNICEF zinasema kuwa, karibu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa China atoa mwito wa kuboresha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi hiyo ikifanikisha uchaguzi wa rais na wabunge. Bw. Dai Bing amesema China inatarajia kuwa Somalia...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha majeshi ya Marekani kurejea Somalia

    Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko. Kabla ya Trump...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Somali Bantus walikataliwa Somalia, UN waliomba warudishwe kwao Tanzania

    Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu ku-intermarry na Mbantu alitengwa na jamii ya Wasomali. Hali ilikuwa mbaya kwa Wabantu Somalia hadi UN...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wamrejesha madarakani Rais wa zamani

    Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110 Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farmaajo, Rais wa Somalia ambaye aliichukia Kenya sana, abanduliwa katika uchaguzi wa Urais

    Huyu mtu mwenye roho mbaya, kisirani number moja kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia amebanduliwa katika uchaguzi uliofanyika jana. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Al Shabaab yashambulia kambi ya wanajeshi wa AU

    Kundi la Al Shabaab la Somalia limeshambulia kambi ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika (AU) katika Mkoa wa Shabelle katikati mwa nchi hiyo, ikidaiwa raia watatu wamepoteza maisha katika mapigano hayo. Mkazi mmoja anayeishi katika kijiji kilicho karibu na eneo la tukio, alisema baadaye aliona...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mvutano kati ya wanajeshi na Polisi waongezeka Somalia

    Wabunge wa Somalia wamemchagua spika mpya leo Alhamisi Aprili 28, 2022 huku kukiwepo hali ya mivutano kati ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AU dhidi ya Polisi. Mivutano hiyo inadhihirisha mpasuko uliopo katika vyombo vya usalama vya Somalia, kutokana na kucheleweshwa kwa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 6 wauawa kwa mlipuko katika mgahawa Mogadishu

    Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa. Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  13. Scars

    JamiiForums Tanzania Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

    Mechi ni saa 1 usiku
  14. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

    Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Al-Shabab washambulia vituo vya Polisi Somalia, wasababisha vifo

    Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya Maofisa wa Somalia

    Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu. Katika taarifa...
  17. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Milioni 13 wakabiliwa na njaa Kenya, Somalia na Ethiopia

    Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Somalia wakubaliana kuhusu Uchaguzi wa Bunge

    Viongozi wa kisiasa wa Somalia Jumapili wamesema kwamba wamefikia makubaliano ya kukamilisha uchaguzi wa bunge kufikia Februari 25 baada ya kucheleshwa kwa muda na kutishia udhabiti wa taifa hilo lililotatizika kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, hatua hiyo imefikiwa baada...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Jumuiya za Kimataifa zaingilia mvutano kati ya Rais na Waziri Mkuu

    Umoja wa Mataifa (UN) na Nchi nyingine zinafanya mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Waziri Mkuu kusuluhisha mvutano uliopo ambao unaibua hofu ya kutokea mapigano ya Kijeshi Mapema wiki hii Rais Mohamed Abdullahi Mohamed alimsimamisha kazi Waziri Mohammed Hussein Roble kufuatia tuhuma za...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Rais wa Somalia asimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
Back
Top Bottom