Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia...
Serikali ya Jimbo la Puntland imetoa picha na maelezo rasmi yanayowaonyesha makumi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la Islamic State (ISIS-Somalia) waliokamatwa wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi inayoendelea katika safu ya milima ya Calmiskaad (Al-Miskad) kwenye Milima ya Golis.
Kwa...
“Somalia is not even a country. They don't have anything that resembles a country.”
.
US President Donald Trump, speaking at the White House a year after his return to office, singled out what he called the “criminal illegal aliens” his administration is arresting in Minnesota and elsewhere...
Serikali ya Somalia imesema imefuta makubaliano yote iliyoingia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ikitaja kile ilichokiita tabia ya umoja huo kudhoofisha uhuru na umoja wa nchi hiyo.
Taarifa ya kufutwa kwa mikataba hiyo iliyotolewa leo Jumatatu Januari 13, 2026, inagusa mikataba na...
Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la mawaziri siku ya Jumatatu, Baraza la Mawaziri limesema kuwa limebatilisha mikataba yote iliyofikiwa na...
Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza.
Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti hospital, kwa taarifa za kuaminika police walipeka maiti hospital October 29 kisha wakaziteka na...
Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma.
Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI.
Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi wa Somalia nchini China Hodan Osman Abdi ambayo yamepewa jina la "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu...
Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda atapewa adhabu ya kuuliwa.
Mahakama ya kijeshi mjini Mogadishu imewahukumu kifo askari wawili wa Somalia waliopatikana na hatia ya kushirikiana na kundi la kigaidi la Al Shabab kupanga mauaji ya kamanda wao wa kikosi. Hukumu ya kifo ilitolewa Agosti baada ya askari hao kutiwa hatiani kwa mauaji ya Kamanda Aided Mohamed...
General Mohamed Siad Barre, the last President of a unified Somalia
When he was ousted in a coup by several warlords whose public face was General Mohamed Farah Aideed, Siad Barre escaped to Kenya where he stayed at the Safari Park Hotel for about two months, reportedly incurring expenses...
Helikopta ya kijeshi ya Uganda iliyokuwa kwenye operesheni ya Kikosi cha Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia imeanguka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu siku ya leo Juni 02, 2025 na kuua watu watano waliokuwemo ndani, kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Uganda, Felix Kulayigye...
Hayo yameelezwa Jumapili Juni 22, 2025 na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye.
Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa Kusaidia Kuleta Utulivu nchini Somalia (AUSSOM) na kilichopewa jukumu la kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab na...
Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua......
Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a military recruitment center in southern Mogadishu, Somali authorities and witnesses said.
The assailant...
Kuna video hipo youtube akisimulia kuhusu alivyo kwenda somalia kuhubiri dini.
Roho za watu zimejivisha dini lakini sivyo ndivyo anavyo sema. Anasimulia alivyo tekwa na al shabab wakamwambia ubaki na ujitolee kusalisha ila mwenzake alimtonya kuwa ukisema mema watatumaliza.
Ilibidi kuanza...
Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe.
Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.