Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach...