sokoni

Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

    Hi jamani, Hivi kwa Sasa bei za nyanya dar ,,Arusha,,moro ..Mwanza na Dodoma ni sh ngapi Kwa create? Na je gunia la vitunguu ni sh ngapi?
  2. Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe: Uhai & Kilimanjaro

    2024 uwe na ujasiri kama Hill water. 1. Usiogope yoyote, 2. Weka mipango, 3. Tekeleza, 4. Sacrifice. Utatoboa NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
  3. Buyuni sokoni toeni risiti za mashine kwa daladala

    Kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa daladala za 1.BUYUNI SOKONI-SIMU 2000 2.BUYUNI SOKONI-M/COMLEX 3.BUYUNI SOKONI-KIVUKONI. Wanalazimisha daladala zifike mpaka ndani ya soko wakati barabara ni mbovu sana,lengo wapate ushuru. Tatizo ni kwamba wenye daladala wanataka risiti za...
  4. Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
  5. L

    Nini kimefanya beer aina ya Heinken na Windhoek kupotea kabisa sokoni?

    Wanabodi, Nini kimetokea hadi kufanya beer aina ya windhok na Heinken kupotea sokoni? Nimepita maeneo tofaut tofauti, wanalalamika beer hakuna! Hii inapelekea bei yake kuwa juu tofauti na uhalisia. Shida ni nini?
  6. Kwanini Wamachinga Wanawake Watatu wa Nzega waliandaliwa Meza yao, walikuwa Wanajiamini na hawajulikani sana hapo Sokoni Nzega?

    Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga? Actress wa Movie...
  7. HUAWEI imerudi kwa kasi sokoni

    Kama habari inavyoelezewa hapa na Reuters China chip stocks rally after Huawei's low-key launch of new Mate 60 Pro phone By David Kirton and Jason Xue August 30, 202311:51 AM GMT+3Updated a day ago Huawei sign is seen at the World Artificial Intelligence Conference (WAIC) in Shanghai, China...
  8. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji: Zalisheni bidhaa zenye ubora unaohitajika sokoni

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa ubora unaohitajika sokoni na kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kukabiliana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali...
  9. J

    Nyanya Zinapatikana Kwa Wingi Sana Sokoni Ilala

    Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri. Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku. Akizungumza...
  10. Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  11. Maafisa 27 wasimamishwa kazi kwa kuingiza Sokoni Sukari iliyoharibika

    Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake. Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
  12. Ni sahihi kuingiza bidhaa sokoni ikiwa umebaki mwezi mmoja kuexpire?

    Habari za jumapili wadau! Binafsi nimekuwa mpenzi sana wa mtindi wa kampuni ya asas! Siku kadhaa hapa nyuma nilikutana mtindi ambao ulikuwa na harufu mbaya sana, binafs nikawa nahisi uenda humu kwenye maduka friji huwa wanazima labda ndiyo maana inaharibika. Niliwaambia wauzaji kuwa mtindi...
  13. Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

    Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara. Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi. Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
  14. 'Semi Trucks' za 'TESLA' zaanza kuingia sokoni, moja itauzwa Tsh. Milioni 587 kabla ya VAT na 'Shipping'

    Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.⁠ ⁠ First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.⁠
  15. Mteja anatambuaje asali mbichi sokoni?

    UTATOFAUTISHAJE ASALI MBICHI NA ILIYOCHEMSHWA? Unaponunua asali, ni muhimu kutofautisha asali mbichi na iliyochemshwa. Kwa tulio wengi, hii ni kazi ngumu. Hivyo tunasikiliza analosema muuzaji. Hakika hii si njia sahihi ya kujihakikishia ubora na usalama wa bidhaa muhimu ya chakula. Wamasai...
  16. M

    Uwezo wangu wa kununua mzigo na kupeleka sokoni unapungua

    Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14. Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
  17. Car4Sale Nissan Civilian ipo sokoni

    Make: Nissan Model: Civilian Model No: RW40 Chassis No: RW40030035 Engine No: TD42093733 Engine Capacity: 4169 Number of Axles: 2 Mawasiliano Bei mil 27 0622 033 117.
  18. Mchele tani 130 wapigwa marufuku kuingia sokoni, TFDA yataja sababu

    Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa. Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
  19. Pesa ya Yuan ya China yaanza kuipiku dola ya Marekani sokoni

    Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
  20. SOLD: Rice cooker 1.8L ipo sokoni Tsh 30,000/-

    Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single. Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG. BEI KITONGA CHA 30,000/- Nipo Tegeta Wazo Hill...mawasiliano njoo PM nikuletee.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…