sokoni

Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.

View More On Wikipedia.org
  1. Responded DAWASA: Chemba ya maji taka iliyokuwa inamwaga maji ya taka Ilala sokoni, imetengenezwa

    DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
  2. M

    KERO Responded DAWASA shughulikieni hii chemba ya maji taka inayomwaga maji ya kinyesi ILALA sokoni, Mtaa wa TABORA na UHURU mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
  3. KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  4. K

    Phone4Sale Infinix Smart 8 ipo sokoni

    Infinix smart 8 Imenunuliwa mwezi wa 7 mwaka huu. RAM 3GB Storage 64GB Battery 5000mAh Bei 220,000/= maongezi kidogo yapo. Mwenye uhitaji karibu inbox Asante.
  5. Car4Sale Toyota Alphard namba E inauzwa bei ya kutupa kabisa

    Bei/Price TSH 21.8M Call 0747 999 927 TOYOTA ALPHARD(ECP) Year: 2007 Engine: 2360Cc Mileage: 84,000+ Transmission: AUTO Automatic Doors In Good Condition Exchange Possible
  6. Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

    NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na...
  7. Nissan Dualis zitajiondoa zenyewe sokoni

    Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa. Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi...
  8. Pilipili Mwendokasi imesimamaje sokoni?

    Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje. Wadau mwenye taarifa anijuze
  9. M

    Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

    Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara. Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako. Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy. Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product " Ili kupata uongozi sokoni...
  10. Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

    Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  11. A

    XLR 250 IKO SOKONI

    Milioni 3.5. iko katika hali nzuri sana
  12. Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko. swali la kujiuliza wao...
  13. Bei ya mbaazi sokoni

    Habari wakulungwa ninahitaji kujua bei ya mbaazi shambani na zikienda sokoni zinauzwaje??
  14. KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  15. Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    SUBARU FORESTER Mwaka 2011 Rangi Red Wine Engine 1990cc Mileage 75,000km Bei 27.5m Remote key Winker Mirrors ☎+255626682228
  16. O

    KERO Madampo ya taka maeneo ya sokoni ni kero

    Nashindwa kuelewa ni kwanini madampo yako pembezoni ya masoko isitoshe mabwana afya wapo na ni maeneo ya vyakula na huduma mbalimbali. Aidha unakuta fremu ipo karibu na dampo laki bado mfanyabiashara wa hapo anatoa hela ya taka ilhali anapeleka mwenyewe uchafu dampo. Imekaaje hi wadau?
  17. M

    Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  18. Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

    Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
  19. N

    Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  20. Nimezunguka Gongolamboto sokoni hakuna sukari, hivi hii nchi ina uongozi?

    Daaaaahh Issue ndogo ya sukari ilipaswa kutatuliwa na kiongozi wa ngazi ya katibu mkuu wa wizara au Mkurugenzi wa bodi ya sukari basi. Lakini serikali yote iliingiza miguu yote na kuambulia kusombwa na maji. Sasa sukari hakuna kabisa. Watanzania msitegemee maendeleo kwa akili hizi za hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…