soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mapato yanayokusanywa Soko la Vitunguu Singida yanaenda wapi? Hali ni mbaya, uchafu umezagaa

    Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo. Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine yakiwemo Kenya, Uganda Malawi kuja kufanyabiashara kwenye soko hili. Jambo la kusikitisha ni kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Wafanyabiashara Soko la Soweto na Uyole (Mbeya) wanauza Samaki walioharibika kwa makusudi

    Habari Wana jukwaa la JamiiForums, leo nimekuja na jambo hili linalowahusu hawa Wafanyabiashara wa Samaki katika masoko ya Soweto na Uyole jijini Mbeya. Baadhi ya hao watu hawajali kabisa afya za watu, maana wamekuwa na utaratibu wa kuuza Samaki ambao tayari wameharibika na hawafai kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  5. JamiiForums Tanzania In the Name of the President: Umahiri wa Uandishi na mkakati wa kuteka soko

    Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi anayeheshimika, ametoa kazi ya kipekee katika kitabu chake kipya kinachotarajiwa, In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist. Kwa simulizi zake zenye ujasiri na mada zenye msisimko, kitabu hiki kimeanzisha mijadala kila mahali...
  6. JamiiForums Tanzania Kanisa kenya limegeuka soko

    Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
  7. JamiiForums Tanzania Hii mbegu ya bamia inafaa Kwa soko la dar?

    Nataka kupanda hii mbegu Vipi sokoni inafanya vizuri? Au Kuna species nyingine Haswa Kwa soko la dar
  8. JamiiForums Tanzania Mkakati wa Blue Ocean (Bahari ya Bluu): Shindana Upya, Fungua Soko Mpya

    Blue Ocean Strategy ni nini? Blue Ocean Strategy (Mkakati wa Bahari ya Bluu), ulioanzishwa na W. Chan Kim na Renée Mauborgne, ni mbinu ya ubunifu wa biashara na ukuaji. Badala ya kushindana kwenye masoko yaliyojaa (red oceans), mkakati huu unalenga kuunda masoko mapya yasiyo na ushindani (blue...
  9. JamiiForums Tanzania Ukipita soko la Buguruni unakumbushwa tamaduni ya mwafrika ni kuridhika na uchafu

    Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki Ukiridhika kupata chakula chako katika...
  10. JamiiForums Tanzania Soko la kuku wa kienyeji Dar

    Habari wakuu . Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
  11. JamiiForums Tanzania Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  12. JamiiForums Tanzania NATAFUTA SOKO LA NANASI

    Wadau, nimeanzisha shamba la nanasi heka 5, three years ago, maeneo ya Misigi( 17 Km from Chalinze). Sasa lina maximum production. Changamoto yangu ni soko. Nahitaji masoko ya Arusha, Moshi, Zanzibar na Kenya, ndio nasikia bei ni nzuri. Haya masoko ya karibu nayapata, ila bei, wananilalia sana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Morogoro rekebisheni taa, swichi na feni katika Soko Kuu la Chifu Kingalu hazifanyi kazi

    Mimi ni Mfanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu ambalo lipo Manispaa ya Morogoro, katika soko hili kuna changamoto kubwa hasa kuharibika kwa taa, swichi za feni pamoja na masinki ya kunawia mikono. Tangu soko lifunguliwe Mwaka 2020 halijawahi kufanyaiwa ukarabati, hivyo taa haziwaki mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Eneo (Site) Ujenzi wa Soko la Kimkakati la Kabanga kwa Mkandarasi

    06/12/2024 Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la Kimkakati Kabanga. Hii ni utekelezaji wa ahadi ya RUHORO na DIWANI wa Kabanga Mh Hafidhi Abdallah waliyo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

    N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara. Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando Suluhisho ni huduma ya unlimited...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Mbeya: Kabwe hapafai kuwa Soko Jioni, ni pachafu kupindukia, tunakaribisha Kipindupindu

    Hivi ni nani alitoa wazo la kupafanya Stendi ya Daladala ya Kabwe kila ikifika jioni kupageuza Soko? Moja hili eneo ni chafu kupita maelezo na Wafanyabiashara wamejianzishia Dampo hapohapo. Yaani huku taka zimejaa lakini pembeni yake unaona mama anaendelea na kuuza Samaki, Matunda, Mboga Mboga...
  18. JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya: Soko la Mwanjelwa lageuka Parking ya magari

    Hivi Kwa gharama za zaidi ya Bilioni 16 zilizotumika kujenga Soko la Mwanjelwa ndiyo tumeamua kuligeuza Parking ya magari? Licha ya gharama kubwa zilizotumika kulijenga Soko hilo lakini limeshindwa kabisa kuwavutia wafanyabiashara kuhamia hapo au kuanzisha biashara hapo. Mwanzo sababu ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…