soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. Soko la kivulu

    #NDOTO: 14 SOKO LA KIVULI Nilijikuta nimesimama kwenye soko lisilo la kawaida—kila mtu aliyekuwa pale alikuwa kivuli, si mtu kamili. Waliuza vitu visivyoonekana: mtu mmoja aliuza “heshima,” mwingine “wakati na familia,” mwingine “msamaha ,” na mwingine “amani ya moyo.” Mwanamke mmoja mwenye...
  2. Airbnb Inavyokwenda kuua Soko la Guest House na Lodge

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya Airbnb imekuwa ikiibuka kwa kasi kubwa nchini Tanzania na duniani kote. Hii ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu binafsi kukodisha nyumba zao au vyumba kwa wageni kwa muda mfupi, na kuleta ushindani mkubwa kwenye sekta ya malazi ambayo hapo awali...
  3. Wekeza sasa kwenye soko la nyumba (Real Estate)

    SOKO LA NYUMBA NCHINI TANZANIA; (RESIDENTIAL MARKET) Soko la Nyumba nchini Tanzania limetawaliwa na Wamiliki binafsi (Wananchi) wa Tanzania na Mashirika ya Umma(NHC, NSSF na TBA). WAHUSIKA WAKUU:- 1.Wamiliki wa Nyumba zisizo na Upimaji ( Individual Unsurveyed Dwellings )=70.00% Mfano Nyumba za...
  4. O

    Lile soko la Mwanza pale mjini kati

    Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
  5. W

    Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  6. D

    NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
  7. B

    PreGE2025 Mbunge Samizi atoa bati 200 kusaidia uezekaji soko la mabamba

    Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe leo Tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983. AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka amekiri kupokea Bati hizo , wakiwepo...
  8. N

    Coca-Cola Kwanza yapokea eneo la Stendi ya Msamvu kwa ajili ya Soko la Mama Lishe Morogoro

    Afisa Uhusiano wa Coca-Cola Kwanza, Maria Kimwaga, kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Emmanuel J. Mkongwa, wakati wa makabidhiano rasmi ya eneo la Stendi ya Msamvu kwa Kampuni hiyo. Hafla ya makabidhiano ya eneo hilo ilifanyika katika ofisi za Mkurugenzi wa Manispaa...
  9. Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. 📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  10. Nikiwa Rais soko la Kariakoo litaboreshwa maradufu

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;- Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia Usafi utakuwa wa hali ya jùu...
  11. Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  12. Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  13. Bado fani ya ushonaji ina soko. Mnaoenda VETA someni hiyo

    Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni...
  14. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  15. Mauzo ya bidhaa za Tanzania Soko la Ulaya yameongezeka

    MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023. Ongezeko hilo...
  16. Lazima bidhaa zote za plastic zitakuwa zinazalishiwa hapa Tanzania. Nia ni kuteka soko la dunia la plastic

    Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics Mazulia -mazulia kama makapeti...
  17. Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  18. R

    Tumkumbushe waziri Jaffo kwamba Wachina wanajenga soko lao Ubungo au tumwache? Je, tumkumbushe kwamba mama alikataza kufunga biashara?

    Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu 1. Je, kuna kifungu cha sheria kinakataza wachina kumiliki biashara Kariakoo? Je Mataifa mengine kama Nigeria na Wahindi wao ni...
  19. H

    Soko la maharage Dar

    Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu. Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi? Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
  20. Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…