soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Soko la mitiki lipo wapi

    Wana JF nina shamba la mitiki lipo kisarawe lina ukubwa wa hekari 14,lina miti ya mitiki ipatayo 8000, miti 200-250 kati ya hiyo ipo tayari kuvunwa.shida yangu ni kama ifuatavyo 1.Kama nitaweza kupata mteja wa kununua miti peke yake 2,Kama nitapata mteja wa kununua shamba(ardhi)pamoja na miti...
  2. JamiiForums Tanzania Ushirikiano: Mbunge wa Mbeya Mjini ashiriki usafi Soko la Sido, anywa chai ya rangi na masela, awahutubia wananchi

    ===== Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido. Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa. Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hadi kuwa Waziri na mwingine kutoka kuwa Mlinzi wa soko hadi kuwa Meya, hakika Chadema ni chuo cha uongozi

    Tunaposema kwamba CHADEMA ni chuo cha mafunzo ya uongozi hatudanganyi , Mwita Waitara aliyekuwa Mwenyekiti wa kijiji cha kivule Ukonga, leo hii ni naibu Waziri, huku mlinzi wa soko la Mabatini Mbeya ndugu Mwashilindi akaukwaa Umeya wa Jiji la Mbeya. Mlolongo wa waliotengenezwa na Chadema...
  4. JamiiForums Tanzania Soko la ndimu na ndizi mzuzu

    Ninauliza soko la ndimu na ndizi mzuzu. Kuna mzigo upo mbioni kukomaa; kama wewe unajishughulisha na upo interested tuongee biashara vikiwa tayari nikustue ila nijue bei yako kwa plastic ya ndimu na mkungu mmoja wa mzuzu.
  5. JamiiForums Tanzania Dkt Bashiru akagua na kuridhishwa na ujenzi wa soko la kisasa Morogoro

    Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali Kakurwa leo Jumamosi Februari 15, 2020 ametembelea na kukagua hatua za mwisho ujenzi wa Soko kuu la kisasa katika Manispaa ya Morogoro. Soko hilo la kisasa linatarajiwa kukamilika Machi 30, 2020 limegharimu kiasi cha *T. Shs Billioni 11,267,070,127.77...
  6. JamiiForums Tanzania Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM. Muonekano Wa Soko Kuu Dodoma. Limejengwa Kwa Gharama Ya Tshs Billion 14

    Wadau. Muonekano Wa Soko Kuu la Dodoma lililojengwa kwa Gharama ya Tshs Billion 14. Tunatekeleza
  7. JamiiForums Tanzania Kazi imeanza gesi Oryx yapanda bei kutokana na mabadiliko soko la dunia kuanzia Feb 5

    Taarifs kwa watumiaji wa gesi, Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi Beo wanazotakiwa kuuza n Kg 15 54'000 Kg 6. 22'000 KG 38. 105" 000 Kumbuka hii ni bei elekezi tu muuzaji anaweza kupanda zaidi ya hapa Ahsanteni kwa uvumilivu wenu...
  8. JamiiForums Tanzania Hisa zikiuzwa soko la hisa Nani huwa anahakiki kuhakikisha pesa zinaingia akaunti za wateja waliouza hisa kwa wakati?

    hivi hisa Mfano mtu umeuza Nani huwa anahakiki kuwa hisa za Fulani zimeuzwa Leo na kuhakiki kuwa hizo pesa zinaingia kwenye akaunti ya mhusika kwa wakati? Na gawio la wanahisa likitoka nani anayehakiki kuwa Hilo gawio linaenda kwa wahusika kwa wakati? Moderators msiipeleke hii habari jukwaa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo akerwa na uchafu soko la Sabasaba Jijini Dodoma

    Habari wakuu!Kuna taarifa jana nmeisoma kwenye social media inaeleza kwamba Mheshimiwa Jafo kaagiza soko la sabasaba jijini Dodoma libomolewe na kujengwa upya Mara moja.Hii taarifa ina ukweli wowote? ===== JAFO akerwa na uchafu soko la Sabasaba Jijini Dodoma January 25th, 2020 Waziri wa Nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

    China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
  11. JamiiForums Tanzania Jifunze lugha yoyote duniani bure ujiongezee thamani katika soko la ajira na ushindani dunia ya sasa

    kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika kujifunza lugha mbalmbali bure huku ukifurahia .. kupitia LINK : Learn a language for free
  12. F

    JamiiForums Tanzania Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato

    Wizara ya madini nchini Tanzania, Doto Biteko amezindua soko kuu la dhahabu wilaya ya Chato mkoani Geita huku akitoa maagizo kwa ofisi ya madini mkoani Geita kutoa leseni za uchenjuaji kwa wafanyabiashara wa madini zaidi ya 300 wenye mitambo ya kuchenjua dhahabu mkoani humo.
  13. JamiiForums Tanzania Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

    Leo katika viunga vya Chato kumezinduliwa soko kuu la dhahabu. Hivi kumbe haya masoko ni kwa kila wilaya? Maana makao makuu pale Geita napo pana mjengo wa soko la dhahabu. Hongera Chato kwa kuyafikia maendeleo ya kweli. Unapaa kwa kasi kweli kweli. ===== Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato...
  14. JamiiForums Tanzania MADINI YA BIL 5.6/- YAUZWA SOKO LA MADINI KWA SIKU 18

    BAADA ya serikali kukazia msimamo wake wa kila mfanyabiashara wa madini, kufanya biashara ndani ya soko la madini, vinginevyo atachukuliwa hatua ikiwemo kutaifi shwa madini na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi, katika muda wa siku 18 Soko la Madini mkoani Arusha limeuza madini mbalimbali yenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha vitenge kukidhi soko la SADC

    Vitenge ni vazi la Afrika, kutoka Magharibi mpaka Mashariki, Kusini hadi Kaskazini. Ingawa Afrika Kaskazini wana utamaduni wa Asia sana lakini 1/3 ya Afrika tunatumia vitenge kama vazi la kila siku. Ghana na Nigeria wana viwanda vya kuzalisha vitenge lakini hawajaweza kukidhi soko la Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii soko la utalii tusilitegemee sana pamoja na kuwa na Bombardier

    Watalii wengi ni wafanyakazi wa kuajiriwa. Wengi hutegemea credit cards kifanyike utalii na wanalipa kila mwezi. Likizo huwa zinatolewa siku tano, yaani wiki moja; au siku kumi, yaani wiki mbili (ukitoa Jumamosi na Jumapili). Sasa mtalii amechukua likizo ya siku tano anakwenda Mikumi National...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya ujenzi wa soko la Tarime mjini

    Wafanyabiashara walipewa notisi na Halmashauri ya Mji wa Tarime juu ya kuvunjwa vibanda vyao ili kupisha ujenzi wa soko la kisasa. Pamoja na hayo walitakiwa kulipwa fidia ya vibanda vyao kitu ambacho Halmashauri ya mji wa Tarime hakikufanya. Wenzao wa Geita walipovunja mabanda katika mji wa...
  18. JamiiForums Tanzania TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

    Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini. Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL...
  19. JamiiForums Tanzania Soko la Dagaa Nyasa

    Habarin, kwa anayejua machimbo ya kuuzia dagaa Nyasa kwa dar es salaam naomba anifahamishe Nakuomba uje pm kwa taarifa zaid
  20. JamiiForums Tanzania Samsung yaongoza katika soko la 'Smartphones' za 5G

    Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni katika kipindi cha robo ya tatu (Third Quarter) kwa mujibu wa utafiti kutoka IHS Markit | Technology...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…