soda

Simona Šoda (born October 24, 1974) is a former Croatian female professional basketball player. She began her coaching career in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
  2. Suley2019

    SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  3. GENTAMYCINE

    Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  4. Mwachiluwi

    Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

    Hi 👋 Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
  5. USSR

    WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

    WHO: Soda na pipi zinaviambata vinavyosababisha kansa, hapa wanapigania na DK mpango aliyesema ni kutumia madawa ya kutunzia maiti. Report ya shirika la afya duniani limetaja sababu kuu za kupata kansa ni kula nyama nyekundu, kunywa soda, kumung'unya pipi, na kazi za usiku mara kwa Mara USSR
  6. GENTAMYCINE

    TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  7. marehem x

    Eti soda unaipanua, chupa ya maji unaifungua na kufunga

    Wajameni. Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo. Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali" Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ? Mimi. "Mbili" Muhudumu. " Nii panue?" Mimi...
  8. Basi Nenda

    Kiwanda cha Coca Cola kinauza soda chafu

    Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa. Muda huo...
  9. Lycaon pictus

    Mtu anayeharisha anaweza kutumia soda?

    Habarini wakuu. Kumekuwa na imani potofu kuwa mtu anayeharisha hatakiwi kutumia vitu kama soda na juisi. Utasikia, "Usimpe soda huyo anaharisha." Ukweli ni kinyume chake. Mtu anayeharisha anapoteza madini nw maji mengi sana. Na mara nyingi hii ndiyo hupelekea kufa, hasa kwa watoto. Kwa hiyo mtu...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mtaani kwako soda wanauza shilingi ngapi?

    Zile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?
  11. Samia atosha tukutane2030

    Asante Serikali, soda imepanda kwa 40%

    Soda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700. Kwa hesabu za harakahara hapa kuna ongezeko la sh. 200 ambayo ni asilimia 40% ya sh. 500. Ni kweli production costs zimeongezeka kwa 40% au ni mwanya tu wajanja wanautumia kutengeneza fedha watoto wao wapelekwe chekechea...
  12. NetMaster

    Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

    Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa. Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
  13. Lycaon pictus

    Serikali ipige marufuku soda na vinywaji vyote vilivyoongezwa sukari

    Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa? Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
  14. Swahili AI

    Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  15. L

    Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60

    Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60
  16. M

    Kama una kreti tupu za soda na bia na unataka kuziuza tuwasiliane

    Wakuu habarini za jioni. Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane. Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
  17. P

    Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  18. M

    " Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

    Hata kama Soda zimepanda bei hii kauli sio nzuri kabisa kwa wateja. Yaani unajibiwa kibabe kwamba kama hutaki kunywa kula kona . Dah...
  19. William Mshumbusi

    Hatimaye na soda imepanda Bei Hadi 700

    Ikifika hivyo 2014 enzi za jk. Ikashuka 2016. Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia? Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
  20. M

    Sababu kuongezeka bei ya soda nchini Tanzania unaijua?

    Dar es Salaam. Gharama za uendeshaji zimetajwa kuwa sababu ya kuongezeka bei ya soda aina ya Cocacola na Pepsi. Vinywaji hivyo kwa muda mrefu vimekuwa vikiuzwa kwa Sh500, lakini sasa imeongezeka na kufika Sh600 kwa soda za ujazo wa mililita 300 na 350. Mwananchi ina nakala ya waraka wa kampuni...
Back
Top Bottom