Social media imekuwa sehemu kubwa ya maisha ya kila siku ya vijana. Platforms kama Facebook, Instagram, TikTok, X, na YouTube zimeleta faida nyingi kama elimu, mawasiliano, na biashara.
Lakini pia zimeanza kuleta changamoto kubwa sana kwenye thinking system (mfumo wa kufikiri) wa vijana...