social media

  1. Doto12

    Kuweka uso/face/ sura ya/wa mtoto kwenye social media. Nini madhara yake

    Hii tabia ya kuwaweka watoto wadogo kwenye mitandao ya kijamii(social media) Facebook Instagram nk nk hii ni tabia mbaya sana. Ni kawaida kuwaonyesha watu damu zetu, uzur wetu lakini sio sawa. Yeyote aliyemuweka mwanae kwenye hii mitandao, na hata Whatsapp mnawekwa sio busara. Ule uzao wako...
  2. Marmeid

    Jinsi social media zinavyopunguza thinking capacity kwa vijana

    Social media imekuwa sehemu kubwa ya maisha ya kila siku ya vijana. Platforms kama Facebook, Instagram, TikTok, X, na YouTube zimeleta faida nyingi kama elimu, mawasiliano, na biashara. Lakini pia zimeanza kuleta changamoto kubwa sana kwenye thinking system (mfumo wa kufikiri) wa vijana...
  3. M

    Tanzania: Court Orders Influencer to Surrender Social Media Accounts Despite Lack of Evidence

    DAR ES SALAAM – In a ruling handed down yesterday, the District Court of Temeke has ordered social media influencer Clemence Kenan Mwandambo to surrender all his social media accounts and report to the police monthly for a year, despite prosecutors admitting they possess insufficient evidence to...
  4. Marco Seth

    Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  5. S

    Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  6. Fascinating

    Tanzania Silences Social Media Ahead of October 29 Elections to Curb Youth Protests

    The Tanzanian government has imposed sweeping internet restrictions on major social media platforms, effectively blocking access to TikTok, Instagram Live, X (formerly Twitter), and local forums in a calculated move to disrupt online youth mobilization on the eve of tomorrow’s general elections...
  7. R

    Tanzania Police Force has Deployed Over 4,000 Police Officers to Educate Public on Responsible Social Media Use

    The Tanzania Police Force, through its spokesperson, the Deputy Commissioner of Police (DCP) David Misime, has revealed the deployment of more than 3,900 officers across Mainland Tanzania and 388 in Zanzibar to conduct public education on the responsible use of social media Speaking to the...
  8. Traxtion

    Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  9. Isaka James

    Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  10. W

    Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  11. La Roche

    Mamlaka acheni kufungia uhuru wa habari

    Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake. Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
  12. JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  13. Mwambawetu

    People who are on social media

    People on social media won’t tell you their parents cover their rent. They won’t tell you an old man is funding their lifestyle in exchange for sex. They won’t tell you their “business success” started with inherited money. Moreover They won’t admit that relatives in government...
  14. Forgotten

    Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

    Kwanza kabisa kwanini hautumii mitandao ya kijamii? Ilikuwa hivyo toka mwanzo au ulifuta baada ya kutumia? Socia media zimekuwa sehemu mpya ya maisha ya binadamu kuendana na kasi na mabadiliko ya Teknolojia ila lengo kuu la mitandao ya kijamii limepotea ghafla baada ya teknolojia hii kupokewa...
  15. Mto wa mbu

    Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

    Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike, Hadi kwao kabisa...
  16. 888I

    Hivi unakuzaje akaunti za Social media na kuwa na followers wengi

    Habari za muda huu Mjumbe 😂 Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza tu kwa vitendo zaidi wajumbe uwanja ni wenu karibuni kwa maoni....
  17. Alloyce PR

    Privacy and Perception

  18. Tech Max

    Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi

    Kama unatafuta Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi - nasimamia mitandao ya kijamii pia naweza kusimamia tovuti (website) Mawasiliano: 0756704145
  19. Wakusolve

    Nimetengeneza social media chatapp

    Wakuu habari za wakati nime create social media chat app link hapo chini kujaribu https://six-app-3789b.web.app Mods msifute uzi wangu huu
  20. S

    Unahitaji social media manager?

    Unahitaji social media manager? nitakuwa natengeneza simple poster kuweka posts kwenye account kusimamia akaunti na mengineyo Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Back
Top Bottom