Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu.
Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka nao, Tulitoka kuzika sasa si unajua ukifiwa pole nyingi na unakuwa bize kuzijibu, Tukafika home...