siwaelewi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hawa waandaa maudhui wa Ulaya na Marekani siwaelewi. Kama huyu wa USA

    Hawa jamaa wamekuwa mabeberu. wanaona sisi hatuna kazi za kufanya tununue MB tuangalie sarakasi.zao mtandao. Nina wablock kabisa. wanaona sisi ni vyanzo vyao vya mapato. bora hata yule aliyejapani. kuna mmoja sijui anaitwa kakulilo sijui mamboa anayotuma ni bery expensive nilimblick kitambo...
  2. Kama Mlaji siwaelewi Wasanii wanaowabagua kina AI; waache tuchague wenyewe; Case in Point: Emily Blunt among Hollywood stars outraged over 'AI actor'

    Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu fulani bila kutoa Credit nitaelewa muhusika akilalamika ila sio Waburudishaji kuja juu eti hawa AI...
  3. W

    Siwaelewi wanasimba wenzangu walioumia kukosa ubingwa, hivi sasa Simba ni klabu ya tano kwenye 5 year ranking

    Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita. Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
  4. Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  5. Hivi hizi iphone 17 zitakazo toka mbona kama siwaelewi

    Iphone 17 itatambulishwa tarehe September 12, 2025. Naona kampuni imejiweka sana na kamera kuliko lolote.
  6. Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  7. Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
  8. wanaosema siku yao ya harusi ni siku ya pekee siwaelewi

    kipi cha kufurahia hasa, mimi sioni maajabu ya hiyo siku
  9. Kuna muda huwa siwaelewi na nabaki tu kuwashangaa Waswahili Watanzania

    Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda. Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za...
  10. Wageni wa siku hizi hata siwaelewi

    Huko kwenu wageni wanakujaje kujaje?
  11. S

    CHADEMA siwaelewi. Bado siku 2 mwezi uishe lakini Kamati Kuu haijakutana. Why?

    Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi. Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa...
  12. Star tv na tangazo lenu la corona na kuvaa barakoa leo hii siwaelewi.

    Star tv ina mambo ya kishamba sana sasa lile tangazo lenu la kuvaa barakoa leo hii linamaana gani?
  13. Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  14. Huwa siwaelewi Waafrika (hasa Watanzania) wanapolalamika Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu kwa Waafrika wakati wao wanabaguana wenyewe

    Niwaombe tu Waafrika wenzangu (hasa Watanzania) kuwa tuacheni Unafiki wetu wa Kupinga Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu dhidi yetu Waafrika wakati Ukweli ni kwamba Sisi Waafrika (tena wenyewe kwa wenyewe) tunabaguana kwa Kiwango kikubwa kuliko hata huo Ubaguzi wa Wazungu Kwetu. 1. Hivi katika ngazi...
  15. M

    Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania wapenda Michezo hasa Soka na Timu yao ya Taifa ya Taifa Stars

    Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
  16. Utumishi siwaelewi kabisa

    Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…