Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama”
Video: Clouds Media Digital
Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia.
Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi unahitaji mipango na kura za wananchi badala ya maombi ya ‘kupewa’ nchi ili kuijaribu.
Akizungumza leo...
Ilikuwa ni asubuhi tulivu wanafunzi wote tumekusanyika parade kwa ajili ya kupata maelekezo na taratibu za shule
shule yetu ilikuwa na utaratibu wa kufanya presentation ya masomo kwenye pared ya wanafunzi.
Mara baada ya taratibu za shule kukamilika , ikawa ni zamu ya darasa letu kufanya...
Sio kila mahusino lazima yafikie ndoa
Napokea simu kutoka kwa rafiki yangu ,ananiuliza umemfanya nini shem? Nikauliza kwani kunanini akaniuliza uko wapi? Nikamwambia niko maeneo ya chuo , akanimbia nakuja tuongee.
Tukiwa shule ya Alevel, wakati ndio ujana umeanza kubalee na unatamani sasa...
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
Wachezaji sio marobiti, ni binadamu kama sisi..Ibrahim Doumbia Hakujileta yeye mwenyewe hapo makolo fc bali ni viongozi wenu ndio waliomfuata na kumsajili..Na kwa kua mchezaji ajira yake ni kucheza hakua na budi isipokua kutia Saini pale mahitaji yake yalipotimilizwa.
Sasa yeye kosa lake ni...
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA.
Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi.
Muache hii tabia. Ni tabia...
Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP.
=================
Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
Fei Toto alitoka Yanga ikiwa haina kombe la CAF na yuko Azam ambayo haina kombe la CAF. Yanga ilikuwa inashinda vikombe vya ligi ikiwa na Fei na inaendelea kushinda bila Fei. Aliikuta Azam ikiwa haina vikombe na Azam ikiwa na Fei haina vikombe pia.
Simba na Yanga msidanganyike, Fei ni mchezaji...
Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
Habari wadau, Haya mahusiano Yana Siri kubwa sana
1.Wakati wewe mwanaume unafikria kuwa umempata mke wa maisha mwanamke anafurahi kupata boya la kumaliza shida zake za kwao na kumsaidia ex wake mtaji.
2 Kuna mwanaume unamwona kama vile kakuzimia anatangaza na ndoa kabisa kumbe akili zake...
Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani,
Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia.
Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga.
Mtu mwenyewe...
Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi.
Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu.
Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu.
Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027.
Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Jaji alisema kufanya uchaguzi...
Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi.
Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu.
Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...