sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)

    Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class) CapCut Course: Beginner to Advanced 🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya: Content creators (TikTok, Instagram, YouTube) Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing Wanafunzi au mtu yeyote...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

    Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk. Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwenda Kizimkazi sasa ni kiki. Wanajali camera sio kumuona Mama

    Kwenda kumuona Mama sasa imekuwa ni kama kiki na sio kwenda kumpa pole. Imekuwa ni kulazimishana lazimishana hivi. Cha ajabu wanajali zaidi waonekane kwenye picha zaidi ya kujali kusalimia. Camera za nini yaani huyo Mama siku nzima ni kukaa kwenye kiti na kupiga picha na watu. Hivi afya yake...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  5. JamiiForums Tanzania Pombe sio chai 🤔

    Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪 Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa , kapiga simu , nikamwambia atume picha yake ,simkumbuki tena ,naona ananisunya😄😆 acha nilewe tu bwashee 😁
  6. JamiiForums Tanzania Sio lazima kuoga kila siku.

    Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho. Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
  7. JamiiForums Tanzania Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Impliedly; RPC Arusha anamaanisha wanaostahili kupigwa ni migambo sio askari wa Polisi

    Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana 👇👇👇 Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  10. JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kusafisha Mto Ng'ombe (Dar) kisha kuweka uchafu kwenye milango ya makazi ya watu sio salama kiafya

    Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; huu udongo wa Wasira na Warioba sio wa Dunia hii!!

    Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa akili......nikifika 60 sijui kama nitamkumbuka hata jina. Nikija kwa Wasira, huyu mzee ndo ananichanganya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuchapiwa sio kitu cha ajabu tena.

    Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao? Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama? Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi? Inamaana hajui kuwa jike...
  15. JamiiForums Tanzania Mtandao sio salama kwa watoto.

    --- "Kushiriki picha za watoto mtandaoni kunaweza kuonekana kuwa jambo lisilo na madhara, lakini pindi picha inapowekwa hadharani, inaweza kunakiliwa, kupakuliwa, kusambazwa tena, au kutumika nje ya muktadha uliokusudiwa awali. Hata mipangilio ya faragha haiwezi kuondoa kabisa hatari hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

    Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao. Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...
  17. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  18. JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  20. JamiiForums Tanzania Sura sio umri

    #MICHEZO: Golikiwa wa Klabu ya Jamus FC Goodwill Yugusuk ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Sudan Kusini ya vijana wa chini ya umri wa miaka 23. Yagusuk pia amewahi kuiwakilisha Sudan Kusini katika kikosi cha chini ya miaka 20, pia timu ya Taifa ya wakubwa. Kinda huyo kwa sasa ana umri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…