sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  2. JamiiForums Tanzania Nitasahau vyote ila sio tukio hili

    Habari zenu wakubwa Nimetoka zangu job nimechk narudi home kupumzisha fuvu ili kuwaza kesho mambo yanaendaje Nimepitia dukan kuchkua baadh ya vitu,kunadogo wakati me nafika dukani nilikuta anapimiwa unga muuzaji alipo maliza akampatia unga then akawa anani hudumia mimi sasa vitu vyangu...
  3. JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  4. JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

    Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani. Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
  7. JamiiForums Tanzania Wahaya, wanasemaga: Bagambila Balinsi baliguru kuurila, Rais Samia Prof Tunakiuka Sio kichaaa msikilize

    Nataka imfikie mh Raisi, wa Tanzania najua ikulu inayo wahaya, wamtafsillie ILA kwa ufupi Prof Tibaijuka Hana Deni.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni macho yake? Ufupi wake? Aiba yake? Vinavyonifanya niamini sio mbaya kiivyo, ILA wapo WABAYA zaidi yake je wapo wapi?

    Sijui ni ufupi wake? Rangi yake, aiba yake? Au vinamacho vyake? Mbona Mimi siioni ubaya kama anao twishwa? Aliyemtuma Samia akamwone Tundu Lissu Nairobi ni nani? Au ni yeye aliamua? Najiuliza kmni ni yeye Leo kwa nini amemweka magereza Mwaka mzima?
  9. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania sisi sio wageni

    sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini. kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa. inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Harmonize ana wimbo kauweka YouTube, Siku Mbili haujafikisha views 600! Sio 600K. Mia Sita!

    Mkamsaport kijana mwezenu.
  13. JamiiForums Tanzania Ofisi za polisi sio ofisi za taaluma kama ilivyo kwa wenzetu.

    Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo. Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari vya nani,madaftari ya mwanafunzi gani yani vurugu tupu. Huko nje yani utazani vijiwe vya kahawa na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  15. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  16. JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  17. JamiiForums Tanzania Kila mtu atafute sehemu ya ulaji ale. Kula sio dhambi. Ila kuziba ulaji wa wengine ni dhambi na uhalifu

    Hamjambo! Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani. Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine. Ulaji. Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
  18. JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Serikali Ishughulikie Malalamiko ya Wanaoitisha Maandamano, Sio Kupambana Nao

    Tishio la maandamano la hivi karibuni la Julai 7, 2026, limeibua mjadala mpana na mzito nchini kuhusu namna bora ambayo Serikali inapaswa kukabiliana na changamoto za kisiasa na kijamii zinazochochea wananchi na wanaharakati kutangaza maandamano. Badala ya kuwekeza nguvu nyingi na mabilioni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…