single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Wanabodi.. Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo. Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego? Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine. Binafsi nimependezwa naye...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha kuwa single ni kufumba na kufumbua

    Jana tu apa nilikuwa na mwanamke Leo naamka single kweli maisha ni ubatili mtupu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

    Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume. Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Hili gari lingekuwa binadamu ingekuwa ngumu sana kulitetea kama ilivyo kwa single mothers.

    Gari ambalo linazidi kupoteza kuaminika.
  5. JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  6. JamiiForums Tanzania Paula Kajala: Mama hawezi rudiana na Harmonize, kasema bora afe akiwa single

    Paula Kajala amethibitisha rasmi kuwa mama yake, Kajala Masanja, amefunga kikamilifu ukurasa wa mahusiano na msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, na kwamba hakuna uwezekano wowote wa wawili hao kurudiana tena. Akiyafichua hayo kupitia mazungumzo na...
  7. JamiiForums Tanzania Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

    Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu. Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake, Kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa tajiri au ndoa na mwanaume mbangaizaji?

    Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba...
  9. JamiiForums Tanzania NICOLE JOY BERRY ATOA ONYO KALI: Ni bora niwe Single kuliko kudate na Maskini

    Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wale kina mama/dada wanaokimbilia u Single, mwenzenu hapa ana ujumbe wenu

    Unatoka kwenye ndoa kwa mbwembwe kwamba unakwenda "kutafuta maisha", halafu mala pap! Ex-mume wako anakukuta mtaani umejitwisha deli la matikiti unatembeza, unakula jua lako na mvua yako. Raha zote za nyumbani ukazikimbia ukachagua pambano la matikiti barabarani!
  11. JamiiForums Tanzania Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

    Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie . Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa. Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  13. JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa single Mother

    Binafsi, siwezi Sababu ni moja tu. Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana. Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo...
  14. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atangaza kuwa single mother

    Staa wa filamu na mrembo maarufu Tanzania, Wema Sepetu, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe mzito kwenye akaunti yake ya Snapchat ambao umeonekana kama kutangaza rasmi kwamba kwa sasa anaendelea na maisha kama single mother. Kupitia Snapchat yake, Wema ameandika: “Being a single...
  15. JamiiForums Tanzania Makabila ambayo bora uwe single

    1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu . Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu. Pia ni wachawi sana sana hawana mfano. 2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano 1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini single mothers wengi wana mtoto mmoja tu ?

    Nini hupeleka mabinti na wanawake wengi single mothers kuwa na mtoto mmoja tu?
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Journalist Solomon Serwanjja Wins LC1 Chairperson Seat by a Single Vote

    Veteran journalist Solomon Serwanjja has been elected LC1 chairperson of Bamutakudde Village in Mukono District after a tightly contested race decided by just one vote. Running as an independent candidate, Serwanjja secured 106 votes, narrowly defeating Lule Badru Ssozi Kirwana of the National...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wadada warembo ma single mpo kweli humu ?

    wakuu kwema ? Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
  20. JamiiForums Tanzania Vijana kwa kujipa matatizo hamjambo. Maisha ya kuungaunga (chini ya 1M), bado unaoa single mother?

    VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…