single mothers

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single woman or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
  2. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Single Mothers ni wamama Jasiri, wenye moyo wa chuma na upendo wa dhahabu

    Jamani.... Leo napenda kuinama kwa heshima mbele ya wanawake hawa mashujaa — wamama wanaosimama peke yao katika jukumu zito la kulea, kufundisha, kulinda, na kupenda watoto wao kwa hali na mali, licha ya changamoto, upweke au hukumu za jamii...ambao jamii ya wahuni fulani fulani tu wanawaita...
  3. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  4. Bacteriophage

    JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  5. Donatila

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la single mothers ni matokeo ya Wanawake wengi kujirahisisha na kutotii wazazi au walezi wao.

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tatizo la "Single Mothers" sio tatizo la Mwafrika ni tatizo la Wamagharibi. Kiasili Waafrika hatunaga kitu kinaitwa "Single mothers"

    Afrika ya mababu zetu haikuwa kitu kinaitwa " Single mothers". Kwa sababu 👇👇👇👇👇👇 1.( a) All women belonged to the community. ( b) All mothers belonged to the community. ( c) All children belonged to the community. ( watoto wangu watoto wangu watoto wako watoto wangu. But now tumeiga uzungu...
  9. Lighton

    JamiiForums Tanzania Single mothers wapambanaji sana

    Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪 NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo, "siyo mpaka upigwe tukio"
  10. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

    Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers. Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania single mothers wengi wameachiwa watoto wa kike

    son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

    Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu. Hao watoto...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyinyi single mothers mmeamua kuwapa mateso watoto wenu?

    Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa...
  14. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Single mothers njooni tuzungumze kwa mapana na ufupi

    Habarini wanajamvi. Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia. Upo ukweli katika hili wapo wengi wao sana walijiingiza katika mahusiano kwa tamaa aidha kwa kujihusisha na wanaume wenye...
  15. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini mama zetu ambao ni single mother hawataki tuoe single mothers?

    Mama zetu ambao wamekuwa single mothers ukitaka akupe laana basi wewe oa single mother Hawataki kabisa usogelee single mother katika MAISHA yako
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi wanawake wote niliowahi kuwaumiza (Single Mothers)

    Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani. Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi). Najua wengi mtajiuliza ni nini haswa kilichofanya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  18. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Single mothers hawajali maneno yenu

    Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi. Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke mbwahuyu hafai kazaa njee ,ila yeye anafuraha anawatoto na wanampa kampani akija home . Mtoto wake anampa...
  19. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

    Habari za usiku. Nilidhani changamoto ya single mothers ni hukuhuku kwetu nchi za matopeni. Lakini kumbe nilikuwa nakosea. Hata ulaya kwa wazungu nao wanatoa maneno ya karaha, kejeli, dhihaka kwa single mothers kama ilivyo huku kwetu Nilifikiri kwa kuwa wenzetu wako mbele kwa ustaarabu hivyo...
Back
Top Bottom