singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnamuonaje Yassin Mustapha? Singida Big Stars tumemsajili rasmi

    Watu wa Soka, Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum. Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC. Beki wa maana sana huyu! !
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  3. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumemsajili kipa mzawa Benedict Haule kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu

    Watu wa Soka, Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu. Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini. Tunaendelea kujipanga kuelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Tumemsajili kiungo Said Ndemla kuchezea Singida Big Stars kwa miaka miwili

    Watu wa Soka, Leo tumemtambulisha rasmi kiungo bora wa soka hapa nchini, Said Hamis Ndemla, ambaye amesaini kutupatia huduma yake kwa miaka miwili. Ndemla sifa zake zinajieleza zenyewe. Amekuwa mchezaji ambaye kiwango chake kinapanda siku hadi siku. Atatufaa sana kwenye kufikia malengo yetu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Pre- Season: Singida Big Stars tunaenda kuweka kambi Geneva ya Afrika

    Watu wa Soka, Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season). Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused. Timu itaweka...
  6. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumemsajili Kipa wa Taifa, Metacha Mnata

    Watu wa Soka, Leo ninafurahi kuwajuza kuwa Mlinzi Imara kutoka Timu ya Taifa #TaifaStars asiye na presha na mechi ndogo wala kubwa, Metacha Mnata, ametuhakikishia kuwa lango letu litakuwa salama kupitia uzoefu wake. Tayari tumeinasa saini yake na atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili katika...
  7. JamiiForums Tanzania Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

    Giza limekuwa jeusi tiiii... Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂 Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha...
  8. JamiiForums Tanzania RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
  9. JamiiForums Tanzania Mliomuibia mdogo wangu magunia 70 ya mahindi Singida rudisheni tafadhali

    Salaam kwenu japo sitamani wahusika watukio hili waitikie Salam yangu. Uuzaji wa nafaka ni moja Kati ya harakati ninazozifanya ili kuutafuta mkate wangu wakila siku. Huwa nasafirisha mahindi kutoka hapa mkoani kwangu kwenda mikoa mbalimbali ikiwemo mkoa wa Singida. Wiki iliyopita nikawa sipo...
  10. JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  11. JamiiForums Tanzania Kutoka Zanzibar: Singida Big Stars tumefanya mazungumzo na Avran Grant, Fadiga

    Watu wa Soka, Leo Singida Big Stars tumeshiriki kongamano la mpira wa miguu maarufu kwa jina la Tanzania Football Summit 2022 linaloendelea hapa visiwani Zanzibar. Pamoja na mambo mengine muhimu, tumefanya mazungumzo na kocha mstaafu wa klabu ya Chelsea Avram Grant, mchezaji wa zamani wa...
  12. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
  13. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Watu wa Soka, Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC). Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

    Hawa wachezaji wa kimataifa walikuwa first eleven pale Jangwani, wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha Real Madrid kufumba na kufumbua eti wapo Kitayosce sijui DTB sijui Namungo. Labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45, the rest ni kalaana fulani hivi, Yanga tupunguze uchawi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania DTB sasa kuitwa Singida Big Stars

  16. JamiiForums Tanzania Drivers (2 Posts) at TANROADS Singida

    POSITION TITTLE: DRIVERS (2 POSTS) Scope of position The successful candidate should be ready to work for considerable lengths of time when required under minimum supervision. Key qualifications Holders of Certificate of Secondary Education Examination with Basic Driving Course offered by...
  17. JamiiForums Tanzania DAS Singida ataka waandishi wa Habari wapeleke CV zao ofisini kwake

    Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali. Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
  18. JamiiForums Tanzania Singida: Watu wanne wafariki dunia baada ya Hiace kugongana na Lori

    Watu 4 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa mkoani Singida baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Fuso kwenye barabara kuu itokayo Singida kwenda Arusha Maoni Yangu Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yasemekana Kuna Ajali Mbaya Imetokea Ikungi Singida

    Nasikia kuna ajali mbaya imetokea usiku huu huko Ikungi, tafadhali mlioko huko Ikungi tupeane habari, tuna ndugu wanasafiri usiku huu na hatuna mawasiliano nao, kuna ndugu amepita hapo ameona wasamaria wema wakijaribu kuwatoa wahanga kwenye hayo magari.
  20. JamiiForums Tanzania Singida: Basi la Kampuni ya Falcon lapata ajali kwa kugonga Lori kwa nyuma

    Basi la Kampuni ya Falcon lililokuwa safarini kutoka Tarime kwenda Jijini Dar es Salaam limepata ajali usiku wa kuamkia leo Jumamosi Aprili 02, 2022 maeneo ya Shelui Iramba Mkoani Singida baada ya kugonga Lori kwa nyuma. Idadi ya majeruhi bado haijafahamika. Taarifa zaidi zinafuata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…