Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila...