Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima,
Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
Habari Tanzania !
Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima?
Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ?
Karibuni
Dar es Salaam, Tanzania
CAF Confederation Cup 2025-2026
Singida Big Stars 2 - 1 Rayon Sports
Goal scorer for Singida B. Stars
Anthony Tra Bi Tra 58'
Idriss Diomande 44'
Goal Scorer for Rayon Sports :
Tambwe
Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza jana...
Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania.
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aucho amesema amebadilisha msimamo wake baada ya kuona...
Kuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya Singida au Mpanda wapi anataka awe reallocated. Binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika.
Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya Singida na Mpanda?
Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani Singida
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego wakati akizungumzia...
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Klabu ya Singida Black Stars kupitia kwa Afisa Habari wake Husein Massanza imesema mshambuliaji hakuna timu Tanzania yenye uwezo wa kumnunua mshambuliaji wao Jonathan Sowah na kubainisha kuwa kama kuna timu inajiweza ije mezani na kitita cha Tsh bilioni 2.6.
"Ikitokea klabu inakuja inataka...
Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 62.6 iliyojengwa katika halmashauri saba za zilizopo katika Mkoa wa Singida inatarajia kuzinduliwa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru 2025 ambao utakimbizwa kwa siku saba mkoani hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe.Halima Dendego, akitoa taarifa leo kwa...
●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey Mwijage (kushoto), wakikabidhi miche 100 ya miti kwa Mkuu wa Divisheni ya Awali na Msingi wa Manispaa...
Hongereni wana singida.
Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo
Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣
Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy, Weweeee🤣
Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini.
Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
Leo Tarehe 7/7)2025 naandika huu uzi kama utabiri
Azam Fc ina resources zote pesa, uwanja na wachezaji wazuri wenye viwango vya kimataifa. Ni kawaida kwa mashabiki wa Simba au Yanga kuiita azam ni timu ndogo timu ya ukwsju na embe huku wengine wakiifananisha na kobe dhihaka zote huelekezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.